Pata Habari kwa kuandika email yako hapa chini:

Showing posts with label MICHEZO. Show all posts

Kocha Pep Guardiola amefunga ndoa na huyu mpenzi wake wa longtime..!

0 comments
Screen Shot 2014-05-30 at 3.14.27 AMHatimaye kocha wa klabu bingwa ya Ujerumani Bayern Munich, Pep Guardiola amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Cristina Serra May 29 2014 ikiwa ni ndoa ya kawaida kabisa bila shamrashamra zozote.
2,w=650,c=0.bild
Ndoa imefungwa kiserikali huko Matadepera, Catalonia Hispainia ambapo Pep na mchumba wake Cristina pamoja na watoto wao watatu na wazazi wao, walifanya sherehe ndogo kuhalalisha uhusiano wao na picha zilizopatikana ni hizi hapa chini.
o_MDSIMA20140529_0125_1Guardiola mwenye shati la kaki na mkewe Cristina mwenye suruali nyeusi pamoja koti jekundu wakisindikizwa na ndugu zao kwenda kufunga ndoa.
i_MDSIMA20140529_0126_1

Cristiano Ronaldo na ustaa wake, tazama jinsi alivyowasili kujiunga na timu ya taifa!!!

0 comments
Screen Shot 2014-05-30 at 12.09.53 PM
Hili ndio gari alilowasili nalo.
Ni jana tu May 29 2014 Cristiano Ronaldo ametajwa kushika namba moja kwenye list ya mastaa kumi wa soka ambao wanavutia kibiashara na kufanya kazi na makampuni makubwa ya kibiashara duniani.
Hii post inahusu kuwasili kwa Ronaldo kwenye hoteli timu yake ya taifa ya Portugal ilikoweka makazi ya muda kujiandaa na kombe la dunia litakaloanza siku chache zijazo nchini Brazil.
Screen Shot 2014-05-30 at 12.46.45 PMKulikua na mashabiki wengi waliokua wakimsubiria wakiwemo kina mama, baba na watoto ambao wengine walijaribu hata kumgusa, wengine kumsemesha na wengine kumpiga picha.
Screen Shot 2014-05-30 at 12.46.37 PM
Screen Shot 2014-05-30 at 12.02.32 PM
Screen Shot 2014-05-30 at 12.46.22 PMYaani huyu mtoto hakuamini kamshika Ronaldo…. hahahha hii picha ya huyu mtoto

Unajua jeshi la Brazil limejipangaje kukabiliana na dawa za kulevya kuelekea kombe la Dunia?.

0 comments
vitaHivi sasa kazi ya jeshi nchini Brazil sio kwa ajili ya vita tu, bali pia linajiandaa katika mapambano makali dhidi ya wasambazaji pamoja na wauzaji wa dawa za kulevya wanaowalenga mashabiki watakohudhuria michuanoya kombe la dunia.
vitani2
Kutokana na nchi hiyo hivi sasa kujiandaa kupokea wageni wengi ambapo takribani wageni laki sita wakiwemo elfu 10 kutoka nchini Uingereza wakiwa ni miongoni mwa walengwa wa biashara hiyo na wauzaji wa dawa za kulevya aina ya Cocaine.
Zaidi ya vikosi vya kijeshi elfu 30, wanamaji pamoja na vikosi vya angani vinafanya doria katika nchi hiyo katika kina cha urefu wa Maili elfu 10 na 500 kutoka usawa wa bahari kukabiliana na dawa za kulevya.

RAISI MSAKA KABUMBU NA ANALIPWA MSHIKO WA KUMTOSHA KBSA..!

0 comments
prezdaaNikikupa nafasi ya kuniambia namba ngapi atakua anacheza huyu president wa nchi kwenye hili soka unaweza kuotea? hii inaingia kwenye list ya stori kubwa za millardayo.com
prezzzSasa unaambiwa club moja huko Bolivia (Sports Boys) imemsajili rais wa Bolivia Evo Morales kucheza kama kiungo wa kati kuanzia Agosti 2014 na mgongoni atakua na jezi namba 10 huku mshahara wake kwa mwezi ukiwa ni dola za Kimarekani 213 kwa mwezi ambazo ni zaidi ya laki 3 za Kitanzania.
prezKwa sasa mashabiki wanamsubiri president huyo mwenye umri wa miaka 54 ambae ni shabiki mzuri  soka na atakua akiichezea Sports Boys ikiwa ni timu iliyopo kusini mashariki mwa mkoa wa Santa Cruz.
Timu hiyo ambayo ipo katika ligi ndogo imesema rais huyo atakuwa akicheza kwa dakika 20 katika kila mechi watakayokuwa wanacheza hasa ikizingatiwa kuwa ni mtu mwenye shughuli nyingi.
Rais Morales amewahi kucheza katika mechi nyingi pamoja na wanahabari, viongozi wa umoja na marais wengine huku kumbukumbu ikionyesha mwaka 2007 rais huyo alishiriki katika mechi iliyokusudiwa kupinga kikwazo kilichokuwa kimewekwa kwa Bolivia cha kutoshiriki katika mechi za kimataifa.
Mwaka 2006 alipata matatizo uwanjani kwa kuvunjika mguu wakati alipogongana na kipa.

Drogba jembee!!! Kingine alichofanya Drogba ambacho Waturuki hawatomsahau

0 comments
10363842_10152468790022853_2277617084071066680_nMshambuliaji wa Galatasaray  Didier Drogba amefanya kitendo ambacho kimezidi kumpa sifa kubwa linapokuja swala la kurudisha kwa jamii.
Drogba ambaye jana alitangaza rasmi kuondoka Galatasary baada ya mkataba wake wa miezi 18 kumalizika ametoa mchango wa zaidi ya billioni moja na nusu za kitanzania kwa familia za wahanga wa maafa yaliyotokea kwenye machimbo ya madini nchini Uturuki. 

Drogba na wachezaji wenzake wa Galatasary walivaa ‘helmets’ kwenye mchezo wao wa mwisho wa ligi kuonyesha support juu ya tukio lilotokea machimboni ambapo raia huyu wa Ivory coast akachukua hatua nyingine ya ziada kuwasaidia wahanga wa maafa akiwa kama balozi wa Umoja wa Mataifa. 

“Mimi ni balozi wa U.N na nitafanya kila kitu kusaidia watu waliopata maafa lakini sihitaji mtu yoyote atumie jina langu kujipatia umaarufu kupitia janga hili, mimi sio mtu wa kujipromoti kwenye vitu kama hivi.”

Tarehe 13 mwezi huu kwenye migodi ya makaa kulitokea mlipuko mkubwa uliosababisha vifo vya watu 301.

BAYERN Tazama magoli ya Arjen Robben na Muller yalivyoipa Bayern ubingwa nne ndani ya msimu huu!

0 comments
article-2631445-1DF4088700000578-71_634x394Magoli ya winga Arjen Robben na kiungo Thomas Muller yaliwafanya Bayern Munich kutwaa ubingwa wa kombe la FA la Ujerumani maarufu kama DFB Pokal.
Kombe hilo ni la nne ndani ya msimu huu, wakiwa tayari wameshachukua UEFA Supercup, Klabu bingwa ya dunia, Bundesliga na sasa DFB Pokal.
 http://www.dailymotion.com/video/x1vbh3m_dortmund-0-2-bayern-munchen-all-goals-highlights-120-17-05-2014_sport
<iframe frameborder="0" width="480" height="270" src="//www.dailymotion.com/embed/video/x1vbh3m" allowfullscreen></iframe><br /><a href="http://www.dailymotion.com/video/x1vbh3m_dortmund-0-2-bayern-munchen-all-goals-highlights-120-17-05-2014_sport" target="_blank">Dortmund 0-2 Bayern Munchen  ~ All Goals...</a> <i>by <a href="http://www.dailymotion.com/y2kpasssed" target="_blank">y2kpasssed</a></i>
Dortmund 0-2 Bayern Munchen  ~ All Goals… by y2kpasssed

Baada ya siku 3,283 hatimaye Arsenal washerehekea ubingwa – angalia video hapa!!!

0 comments
article-2631275-1DF30B7100000578-826_964x386Klabu ya Arsenal jana ilimaliza ukame wa siku 3,283 bila kutwaa ubingwa wa aina yoyote baada ya kuifunga Hull City 3-2 kwenye mchezo wa fainali ya kombe la FA Cup.
Arsenal ilifunga magoli yake kupitia Santi Cazorla, Koscienly na Ramsey

 http://www.dailymotion.com/video/x1vb6rn_arsenal-3-2-hull-cit_sport

Cristiano Ronaldo awafunika Messi na Diego Costa – atwaa tuzo ya PICHICHI!!!

0 comments
10314573_10150588744134953_7445809377026890214_nMshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo amekuwa mfungaji bora na kutwaa tuzo ya PICHICHI ambayo hutolewa kwa mwanasoka anayekuwa kafunga magoli kwenye msimu mmoja wa La liga.
Ronaldo amemaliza msimu akiwa na magoli 30 baada ya kucheza 31 na kufanikiwa kuwazidi Diego Costa na Lionel Messi waliokuwa wakimfuatia kwa karibu. Pia Ronaldo amefungana kwa magoli na Luis Suarez katika kugombea tuzo ya kiatu cha dhahabu kinachotolewa kwa mfungaji bora wa ligi za ulaya.
Cristiano Ronaldo pia ni mfungaji bora wa michuano ya UEFA Champions League ambapo mpaka sasa ana magoli 16 huku bado akisubiri kucheza fainali dhidi ya Atletico Jumamosi ijayo.

NOOMA SANA PICHA HIZI!!! Pichaz za Miss Talent Dar City Centre New Maisha Club.

0 comments
3missdarHii ilikua New Maisha Club usiku wa Mei 16 lilikua ni shindano la kutafuta mashindano ya vipaji kwa miss wanaochuana kwenye kitongoji cha Dar Es Salaam mjini yaani Miss Dar City Centre shindano rasmi linategemewa kufanyika Mei 24 kwenye ukumbi wa Escape One Mikocheni.
2missdarMbali na Miss Dar City Centre warembo wengine waliopita kwenye jukwaa hilo ni washiriki wa Miss Ukonga na Miss Temeke ambao walipata nafasi ya kukionyesha watakachokifanya katika maeneo yao,katika mashindano ya kutafuta vipaji ambao washindi rasmi watatajwa kwenye  Miss Dar City Centre pale Escape One.
Hizi ni baadhi ya picha za usiku huu wa Miss Talent Dar City Centre.
11missdar
10missdar
9missdar
8missdar
7missdar
4missdar
5missdar
6missdar
111missdar
110missdar
109missdar
108missdar
107missdar
102missdar
103missdar
104missdar
105missdar
106missdar
101missdar
100missdar
99missdar
98missdar
97missdar
92missdar
93missdar
94missdar
95missdar
96missdar
91missdar
90missdar
89missdar
88missdar
82missdar
83missdar
84missdar
85missdar
86missdar
81missdar
80missdar
79missdar
78missdar
77missdar
72missdar
73missdar
74missdar
75missdar
76missdar
70missdar
69missdar
67missdar
68missdar
62missdar
63missdar
64missdar
65missdar
66missdar
61missdar
60missdar
59missdar
58missdar
57missdar
52missdar
53missdar
54missdar
55missdar
56missdar
51missdar
50missdar
49missdar
48missdar
47missdar
42missdar
43missdar
44missdar
45missdar
46missdar
41missdar
40missdar
38missdar
37missdar
32missdar
33missdar
34missdar
35missdar
36missdar
31missdar
30missdar
29missdar
28missdar
27missdar
22missdar
23missdar
24missdar
25missdar
26missdar
17missdar
18missdar
19missdar
20missdar
21missdar
16missdar
15missdar
14missdar
13missdar
12missdar