TAZAMA PICHA ZA KISIMA CHA AJABU KILICHOPO MJINI DODOMA..!
Koo
mbili za Wanyazaga na Wambukwa mnyambwa wakiwa wamekusanyika
kukizunguka kisima kinachosemekana kimejaa maajabu cha Bwibwi kilichopo
Katika kijiji cha Iyumbu kilichopo pembezoni mwa Chuo kikuu cha Dodoma [UDOM]
Baadhi
ya wananchi wakifurahia kutumia maji yanayopatikana kisima cha Bwibwi
kilichopo katika kijiji cha iyumbu Manispaa ya Dodoma, kisima hicho
kilichovumbuliwa katikati ya miaka 1,800 kiko katika hatihati ya
kufukiwa na eneo hilo lituumike kwa matumizi mengine.
Mkuu
wa kimila wa kabila la kigogo Lazaro Chihoma akinywa maji yaliyochotwa
kisima cha Bwibwi kilichopo Kijiji cha Iyubu Manispaa ya Dodoma, Kisima
hicho kinachoaminika ni cha maajabu na mtu anayetumia maji yake hupata
Mafanikio ya kiafya na kimaisha:
0 comments: