NOOMA SANA PICHA HIZI!!! Pichaz za Miss Talent Dar City Centre New Maisha Club.
Hii
ilikua New Maisha Club usiku wa Mei 16 lilikua ni shindano la kutafuta
mashindano ya vipaji kwa miss wanaochuana kwenye kitongoji cha Dar Es
Salaam mjini yaani Miss Dar City Centre shindano rasmi linategemewa
kufanyika Mei 24 kwenye ukumbi wa Escape One Mikocheni. Mbali
na Miss Dar City Centre warembo wengine waliopita kwenye jukwaa hilo ni
washiriki wa Miss Ukonga na Miss Temeke ambao walipata nafasi ya
kukionyesha watakachokifanya katika maeneo yao,katika mashindano ya
kutafuta vipaji ambao washindi rasmi watatajwa kwenye Miss Dar City
Centre pale Escape One.
Hizi ni baadhi ya picha za usiku huu wa Miss Talent Dar City Centre.
0 comments: