Hapa walikuwa wanabomoa Sehemu zote za vibanda zilivyo zidi mbele
Hivi ndivyo kituo cha Daladala cha Mwenge kilivyo bomolewa asubuhi ya leo
Hiki kilikuwa Choo cha kulipia kilichokuwa Mwenge nacho kikiwa kimebomolewa
Kazi ya Kubomoa na kuondoa vibanda ikiwa inaendelea Mwenge
Askari wa FFU akiwa anazuia watu wasipite eneo ambalo kulikuwa na kazi ya Bomoa bomoa ikiendelea
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ubomoaji ukiendelea
Hili lilikuwa eneo la kupumzikia zamani la Abiria kungoja usafiri nacho kikiwa kimebomolewa
Mgambo anafanya kazi bila Air Mask wakati kazi inaendelea ya Bomoa bomoa
Mashuhuda upande wa Juu Mwenge
Hapa
ilitaka kutokea Shoti ya Umeme Baada ya gari la kubomoa kupita sehemu
ambayo kuna waya wa umeme, TANESCO hawajazima umeme eneo hilo jambo
ambalo ni Hatarishi.