MMH..HAKUNAGA...KUTANA NA BINTI MREMBO WA RAIS KAGAME WA RWANDA...NI SHIDAAA...!
Anaitwa Ange Kagame, ni mtoto wa pili na
wakike pekee wa Rais wa 6 wa Rwanda Paul Kagame, mama yake anaitwa
Jeannette Nyiramongi na ndiye first lady wa Rwanda.
Ange hajalelewa nchini Rwanda, ameishi maisha yake yote
nje
ya nchi. Wanafunzi waliosoma naye wanasema binti huyu anajituma sana
kwenye masomo na kusaidia watu na muda mwingi hutumia kufuatilia mambo
yanayoendelea nyumbani kwao Rwanda.
Kwa sasa Ange amerudi Rwanda na anafanya
kazi nyingi za kujitolea kwa jamii kama kuoanda miti, kampeni za kupiga
vita magonjwa nguli Rwanda na kuendesha makundi ya kukomboa wanawake
kutoka kwenye umasikini.
0 comments: