Pata Habari kwa kuandika email yako hapa chini:

HALI YA MANZESE SIO NZURI MUDA HUU KUNA MOTO MKUBWA WAWAKA NYUMBA TATU ZAUNGUA NA MAJERUHI KIBAO..!

 
Nyumba hiyo ambayo ipo manzese-darajan imeteketea kwa moto huku wananchi wakiitazama wakiwa hawana cha kufanya. 

0 comments: