Pata Habari kwa kuandika email yako hapa chini:

ANGALIA PICHA ZA TIMBWILITIMBWILI ZA MATUKIO YA JUZI JIONI BUNGENI DODOMA ILIKUWA BALAA..!


Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi (Wapili kushoto) wakifurahia jambo katika mazungumzo na Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Kificho (wapili kulia) na Haidar Madeweyya .

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mohamed Abood(kushoto) na Stephen Wassira wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.


Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma wakiwa Bungeni Mjini Dodoma Aprili 14, 2014 kwa ziara ya kujifunza.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Sophia Simba (kushoto) na James Lembeli (katikati) na Job Ndugai (kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Philemon Ndessamburo (kushoto) na James Mbatia (kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba.

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(wa pili kulia) akiongozana na wajumbe wengine wa Bunge hilo kuelekea katika mapumziko mafupi mara baada ya kikao kuharishwa leo mchana mjini Dodoma.


Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba James Mbatia (kushoto), Mohamed Raza( wa pili kushoto) , Profesa Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) na Freeman Mbowe(kulia) wakibadlishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wa kikao cha ishirini na mbili cha Bunge Maalum la Katiba. Picha na Bunge Maalum la Katiba -Dodoma.

0 comments: