New Maisha Club inatisha sana!!! Pichaz za Miss Talent Dar City Centre New Maisha Club.
Hii
 ilikua New Maisha Club usiku wa Mei 16 lilikua ni shindano la kutafuta 
mashindano ya vipaji kwa miss wanaochuana kwenye kitongoji cha Dar Es 
Salaam mjini yaani Miss Dar City Centre shindano rasmi linategemewa 
kufanyika Mei 24 kwenye ukumbi wa Escape One Mikocheni.
Mbali
 na Miss Dar City Centre warembo wengine waliopita kwenye jukwaa hilo ni
 washiriki wa Miss Ukonga na Miss Temeke ambao walipata nafasi ya 
kukionyesha watakachokifanya katika maeneo yao,katika mashindano ya 
kutafuta vipaji ambao washindi rasmi watatajwa kwenye  Miss Dar City 
Centre pale Escape One.Hizi ni baadhi ya picha za usiku huu wa Miss Talent Dar City Centre.








































































































0 comments: