Pichaz za MTV road to Mama Awards 2014 Club Bilicanas Dar es salaam Tanzania @MTVbaseafrica!!!
Hatimae party la MTV road to Mama Awards 2014 lilidondoshwa Club
Bilicanas Dar es salaam usiku wa May 16 2014 ambapo mstaa kibao
walihusika kuanzia muziki, siasa mpaka movies.
Kwenye stage walimiliki Sauti Soul kutoka Kenya, Mi casa kutoka South Africa na Diamond Platnumz kutoka bongoflevani ambae alimpandisha Shetta kama suprise hivi wakamaliza kazi.
Tanzania imekua miongoni mwa nchi tatu ambazo party la Mama Awards limedondoshwa 2014 ambapo nchi nyingine ni Nigeria na South Africa.

Ay
kwa mbali akiwa na Wanasiasa/Viongozi maarufu wa Tanzania MP kutoka
Kigoma kaskazini Zitto Kabwe na Mayor wa Ilala Jerry Silaa kwenye red
carpet.

Mtu
wako wa nguvu nikaombwa nishikiwe camera ili nipate time na watu wangu
wa nguvu, siku zote wako na mimi kwenye kazi zangu… nawapenda sana

Mtu wako wa nguvu nikiwa na Mx Carter, miongoni mwa watu wa nguvu waliohusika sana na millardayo.com aliifanyia kazi kubwa sana

0 comments: