Cristiano Ronaldo na ustaa wake, tazama jinsi alivyowasili kujiunga na timu ya taifa!!!
Hii post inahusu kuwasili kwa Ronaldo kwenye hoteli timu yake ya taifa ya Portugal ilikoweka makazi ya muda kujiandaa na kombe la dunia litakaloanza siku chache zijazo nchini Brazil.
Kulikua na mashabiki wengi waliokua wakimsubiria wakiwemo kina mama, baba na watoto ambao wengine walijaribu hata kumgusa, wengine kumsemesha na wengine kumpiga picha.
Yaani huyu mtoto hakuamini kamshika Ronaldo…. hahahha hii picha ya huyu mtoto
0 comments: