Pata Habari kwa kuandika email yako hapa chini:

FULL KICKEKO;TAZAMA VIDEO YA RAISI OBAMA BAADA YA KUWATOROKA WALINZI WAKE NA KWENDA KULA BURGER...KWELI BURGER NI*** ~ UTAMUCLASIC

0 comments
FULL KICKEKO;TAZAMA VIDEO YA RAISI OBAMA BAADA YA KUWATOROKA WALINZI WAKE NA KWENDA KULA BURGER...KWELI BURGER NI*** ~ UTAMUCLASIC
0 comments

Hizi ndizo hadhari za kunywa "VIROBA" kwa niaba ya kumkomoa Demu wako juu ya 6x6..!

0 comments

Tafadhali usimnywee demu wako viroba humkomoi yeye unajikomoa mwenyewe,ukiendeleahivyo iko siku utashindwa kusimamisha kabisaaaa mwisho wa siku utaanza kwenda kwa waganga kutafuta dawa. Hao wanawake za watu unaowasemea tatizo kubwa la waume zao wengi ni

1.
Uchovu: wengi wanakuwa na majukumu hata muda wa kufanya mapenzi na wake zao wanakosa kwasababu kazi zimemzid kila akirudi home kachoka hoi hajiwezi
2. Kisukari: Huu ugonjwa unasumbua wengi sana mtu mwenye kisukar kuridhisha mwanamke ni kazi sana japo kuna wengne wanajitahidi kwa hlo


3.Nyumba ndogo: Nina uhakika 100% kubwa wana wanawake nje na ndiyo inapelekea kushindwa kumtimizia mkewe ndani, kama ujuavyo nyumba ndogo shughuli yake nzito sasa jamaa akitoka huko kakwanguliwa kila kitu hata miguu inamtetemeka unadhani
V atawezaje kupiga game?
4. Maelewano mabovu pia huchangia, kama ndani ya nyumba kuna maugomvi kila siku sidhani pia kama hawa watu watakuwa wanaridhishana Kutokana na hizo sababu chache wanawake wengi sana ndani ya ndoa zao hukosa

BATULI:MTU YEYOTE ANAHUSIKA NA VIFO VYA WASANII KATIKA USHIRIKINA BASI ANAJISUMBUA, KWAKE HAWAFUI DAFU..!

0 comments

STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amesema kama kuna mtu yeyote anahusika na vifo vya wasanii katika ushirikina basi anajisumbua, kwake hawafui dafu.
STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’
Batuli ameiambia Bongowood kuwa, hana uhakika kama wasanii hao vifo vyao vinatokana na mkono wa mtu kama minong’ono iliyoenea lakini kama kuna mambo ya nguvu za giza yanaendelea, kwake watashindwa sababu anamtegemea Mungu.
“Sitaki kuamini sana kama hali hii inatokana na nguvu za giza lakini kama kuna mambo ya ushirikina yanatendeka basi kwangu watashindwa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu,” alisema Batuli.

PICHA: JAMANI PESA NI HATARI KABISA, MWANAUME AFANYA MAPENZI NA WASICHANA WATATU TENA KITANDA KIMOJA..!

0 comments
naija boy in bed with three women

Angalia huyu kijana wa Kinigeria alivyonadharau , anafanya mapenzi na wasichana wakari watatu na kutawanya pesa hovyohovyo kitandani. Anawakunja mmoja mmoja kwa zamu. Jeuri ya pesa bana isikie tu, wasichana nao wamekubaliana na upuuzi huu anaowafanyia huyu mnigria. Jamani pesa ndo kila kitu kweli.
Hebu bonya hapo chini uone picha zingine tulizoziweka kuonyesha upuuzi ya hawa walimwengu kisa pesa

hii ndiyo skendo mpya inayomnyima usingizi justine bieber...!

0 comments

justin-bieber-madison-beer-studio

Akiwa mtoto msanii mdogo tu, na msanii marufu kwa kipindi hiko Justine Bieber alishtumiwa kwa kutukana ngozi nyeusi na hivyo kuwakera sana raia wengi wa nchini marekani, video hiyo iliyokuwa ikifichwa kutonekana na mtu yoyote, ilifikia uma ikionyesha Justine akisema kuwa watu weusi wanaogopa mmisumeno ya umeme, huku akiwa anafanya kama utani hivi, skendo hiyo imeibuliwa tena hivi majuzi na kutokea watu wengi kumuandama justine Bieber kwa kitendo hicho alichowahi kufanya akiwa na umri mdogo tu wa miaka 15, kutokana na kusemwa sana Justine Bieber kuonyesha kuw amebadilika sasa na amekua mtu mzima, akaona isiwe ishu na kuamua kuomb msamaa kwa mara nyingine.
Skendo za ubaguzi wa Rangi nyeusi zimeonekana kushika hatamu hivi karibuni, watu maarufu wengi kuonekana kuchukizwa na vitendo hivyo hata kama bado wao wana ngozi nyeupe, kitendo hiko kwa hivi sas kimetokea kuchukiza kila aina ya raia, vitendo vya ubaguzi w rngi vimeendelea kushika kila sehemu, kuanzia sector ya burudani hadi michezo.

Hii Aibu sasa~Hizi picha 8 za Lady JayDee za jarida la VIBE zinazoleta utata, vitovu nje mara vichup lol, tazama hapa...!

0 comments


Hizi hapa picha za Lady JayDee zakwenye jarida la VIBE zinazoleta zogo 
Mwimbaji na Mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye anatikisa hapa Tanzania kwa vibao mbali mbaliJudith Wambura
aka LadyJay Dee amepost picha kwenye mitandao ya kijamii ambazo zita kuwepo kwenye jarida la VIBE.
Story ambayo itahusu 'Undisputed Champion' kwenye jarida la VIBE litakalo toka tarehe 4 June,2014.
lol
Picha hizo zimesababisha wengi kutaharuki kutokana na mavazi ya ubondia aliyo vaa LayJay Dee tofauti na ilivyo zoeleka kuonekana na mavazi ya kisanii au kuchezea kareti.