Pata Habari kwa kuandika email yako hapa chini:

Showing posts with label SKENDO. Show all posts

BATULI:MTU YEYOTE ANAHUSIKA NA VIFO VYA WASANII KATIKA USHIRIKINA BASI ANAJISUMBUA, KWAKE HAWAFUI DAFU..!

0 comments

STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amesema kama kuna mtu yeyote anahusika na vifo vya wasanii katika ushirikina basi anajisumbua, kwake hawafui dafu.
STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’
Batuli ameiambia Bongowood kuwa, hana uhakika kama wasanii hao vifo vyao vinatokana na mkono wa mtu kama minong’ono iliyoenea lakini kama kuna mambo ya nguvu za giza yanaendelea, kwake watashindwa sababu anamtegemea Mungu.
“Sitaki kuamini sana kama hali hii inatokana na nguvu za giza lakini kama kuna mambo ya ushirikina yanatendeka basi kwangu watashindwa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu,” alisema Batuli.

PICHA: JAMANI PESA NI HATARI KABISA, MWANAUME AFANYA MAPENZI NA WASICHANA WATATU TENA KITANDA KIMOJA..!

0 comments
naija boy in bed with three women

Angalia huyu kijana wa Kinigeria alivyonadharau , anafanya mapenzi na wasichana wakari watatu na kutawanya pesa hovyohovyo kitandani. Anawakunja mmoja mmoja kwa zamu. Jeuri ya pesa bana isikie tu, wasichana nao wamekubaliana na upuuzi huu anaowafanyia huyu mnigria. Jamani pesa ndo kila kitu kweli.
Hebu bonya hapo chini uone picha zingine tulizoziweka kuonyesha upuuzi ya hawa walimwengu kisa pesa

Hii Aibu sasa~Hizi picha 8 za Lady JayDee za jarida la VIBE zinazoleta utata, vitovu nje mara vichup lol, tazama hapa...!

0 comments


Hizi hapa picha za Lady JayDee zakwenye jarida la VIBE zinazoleta zogo 
Mwimbaji na Mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye anatikisa hapa Tanzania kwa vibao mbali mbaliJudith Wambura
aka LadyJay Dee amepost picha kwenye mitandao ya kijamii ambazo zita kuwepo kwenye jarida la VIBE.
Story ambayo itahusu 'Undisputed Champion' kwenye jarida la VIBE litakalo toka tarehe 4 June,2014.
lol
Picha hizo zimesababisha wengi kutaharuki kutokana na mavazi ya ubondia aliyo vaa LayJay Dee tofauti na ilivyo zoeleka kuonekana na mavazi ya kisanii au kuchezea kareti. 

Mrembo wa Kenya Mwenye Umbo la Utata Corazon Kwamboka, Akiri Kumzimia Hermy B...!!! shuka nayo hapa..!!!

0 comments
Kama girlfriend wako akikuona unaongea na Corazon Kwamboka, hakuna shaka kuwa roho yake itamdunda kwakuwa wazo la kwanza litakalomuijia kichwani ni kuwa himaya yake ipo matatani. Corazon Kwamboka ambaye ni mwanasheria by profession, ameiteka blogsphere ya Kenya kwa umbo lake matata na kuvutia kama la Agnes Masogange.

China noma,imekusanya hawa watu Uwanja wa Mpira na kuwahukumu kifo..!

0 comments
china2Watu 55 nchini China wamekumiwa kutumikia adhabu mbalimbali kwa makosa ya ugaidi, uhalifu wa kutumia silaha pamoja na mauaji, hukumu iliyotolewa katika Jimbo la Kaskazini Magharibi la Xinjiang mbele ya umati mkubwa wa watu katika Uwanja wa mpira
Kwa mujibu wa ripoti za shirika la habari la nchi hiyo, Washtakiwa hao ambao walifikishwa mbele ya umati wa takribani watu elfu 7,000 walihukumiwa adhabu mbalimbali huku watatu kati yao wakihukumiwa adhabu ya kifo.

china1
Maafisa wa nchini China wamevishutumu vikundi vya kijeshi vya Uigher ambao ndio sehemu kubwa ya wahalifu hao kwa kusababisha kukua kwa idadi ya mashambulizi katika nchi hiyo.
china3
Picha kutoka katika uwanja huo zimeonyesha magari makubwa ya polisi yakiwa yameegeshwa karibu na kundi kubwa la wahalifu hao kuhakikisha ulinzi wa kutosha huku idadi kubwa ya watu wakishuhudia hukumu hiyo ikitolewa.

HUYU NDIYE MSICHANA WA UDOM ALIEVUJISHA PICHA ZAKE ZA UCHI KUTANGAZA BIASHARA YAKE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

0 comments

HUYU NDIYE MSICHANA WA UDOM ALIEVUJISHA PICHA ZAKE ZA UCHI KUTANGAZA BIASHARA YAKE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII









ANGALIA MTOTO WA MWENYE NYUMBA ANAVYOWATEGA WAPANGAJI, TIZAMA MWENYEWE UONE BALAA LAKE..!

0 comments



KIJANA MWINGINE NAE ATANGAZA KUACHA USHOGA KUANZIA SASA ASEMA ANATAKA KUMRUDIA MUUMBA WAKE, ASEMA AMEIBA SANA WANAUME ZA WATU..

0 comments
Kijana aliyefahamika kwa jina la Emmanuel ambae alikuwa tishio kwa mapenzi ya jinsia moja lakini sasa hivi ametangaza kuachana kabisa na biashara hiyo badala yake anataka kumrudia muumba wake kwani tayari ameshaanza kutubu dhambi zake ili asamehewe, huku akisema kuwa amefanyakazi hiyo kwa muda sana tangu akiwa na umri mdogo na ameshatembea sana na waume za watu.

BAADA YA KIMYA KIREFU HATIMAYE MASOGANGE ATOBOA SIRI KUMHUSU JAMAA ALIYEMPA MADAWA ALIYOKAMATWA NAYO SOUTH..

0 comments

‘VIDEO queen’ wa Kibongo, Agness Gerald, ‘Masogange’, amefunguka  kuwa aliyempa mzigo wa unga  na akakamatwa nao nchini Afrika Kusini, alikuwa amevalia kininja, hali iliyomfanya ashindwe kumtambua.

 Taarifa za uhakika kutoka vyanzo vyetu makini katika kikosi kazi cha kuzuia na kudhibiti madawa ya kulevya nchini (Task Force), zinasema kuwa  mwanadada  huyo alipofika katika nchi hiyo, alipigiwa simu na mtu ambaye hamjui aliyemwambia kuwa atapewa mzigo, hivyo ajiandae kuupokea.

“Alidai kuwa kuna mtu aliyevalia kininja alifika eneo alilokuwepo uwanjani pale ambaye hakumsemesha badala yake alimpatia mzigo wa unga ambao ulikuwa kilo 150 ambao hapa kwetu ni madawa ya kulevya na kuondoka kusikojulika,” kilisema chanzo.
 Kwa upande wake, Kamanda wa Kudhibiti na Kupambana  na Madawa ya Kulevya nchini,  Godfrey Nzowa alipohojiwa na gazeti hili alithibitisha kuwa Masogange aliwaeleza polisi wa Afrika Kusini kuwa aliyempa unga ule ni mtu aliyekuwa amevalia kininja

MICHEPUKO NOMA!! WAFUMWA WAKIRA URODA NDANI YA GARI..!

0 comments



Yelewiii!  Dereva ‘suka’ wa kampuni moja binafsi yenye makao yake makuu Kurasini jijini Dar (jina halikupatikana) Jumapili iliyopita alinaswa akifanya mapenzi na changudoa  ndani ya gari la kampuni hiyo, kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kilishuhudia tukio hilo laivu.

‘suka’ baada ya kunaswa akiwa na changu (kulia).
Dereva huyo akiwa na mwenzake walifika maeneo ya Mbagala Zakhem saa 7 usiku wa Februari 16, mwaka huu bila kujua kama OFM ilikuwa katika maeneo hayo kwa ajili ya kufanya oparesheni tokomeza machangudoa.
OFM ilimshuhudia dereva huyo na mwenzake wakishuka ndani ya gari aina ya Toyota Hilux (isiyokuwa na ‘pleti’ namba upande wa  mbele) mali ya kampuni  hiyo, wakiingia kwa fujo katika moja ya madanguro maarufu na kupaki gari  kisha wakashuka kuelekea kwenye danguro la machangudoa.


Baada ya muda, mmoja wao alirejea akiwa na changudoa maarufu kwa jina la Waluwalu na kujifungia ndani ya gari hilo.
Kama kawaida yake OFM iliwataarifu askari wa Kituo cha Kizuiani waliokuwa doria katika eneo hilo ambao kwa pamoja walilivamia gari na kumuamuru dereva  ashuke.

Hata hivyo, suka huyo alikuwa mbishi akaamua kufunga milango na kupandisha vioo ili asiweze kubughudhiwa na kile alichokuwa akikifanya ndani ya gari.
Askari waliokuwa na silaha wakalizunguka gari hilo na dereva huyo alipoona mambo yamekuwa magumu alifungua mlango na kutimua mbio lakini hakufika mbali kabla ya kuwekwa chini ya ulinzi sambamba na changudoa aliyekuwa naye.

Akizungumza kwa hofu dereva huyo alisema, yeye na mwenzake ni madereva wa kampuni... (jina tunalo) na walikuwa maeneo hayo kwa bahati mbaya na si kama walifika kuwanunua machangu hao.
Dereva huyo alipotakiwa atoe sababu za kujifungia ndani ya gari hilo na changudoa kisha kutoa pleti namba ya mbele ya gari, alijitetea kwa kusema kuwa pleti namba ilidondoka barabarani tangu mchana, hivyo walikuwa wakimtafuta fundi ili awatengenezee.


na Changu wakiwa na watuhumiwa wengine walionaswa katika operesheni tokomeza uchangudoa.
Alipohojiwa changudoa waliyekuwa naye, hakuwa na lolote la kusema zaidi ya kuangua kilio na kuomba aachiwe huku akilaumu ukali wa maisha kama sababu ya kujiingiza katika biashara ya kujiuza.
Wahusika hao walifikishwa Kituo cha Polisi cha Kizuiani kabla ya kesho yake (Jumatatu) kupelekwa Mahakama ya Jiji kusomewa makosa yanayowakabili.

WAKUBWA TU...PICHAZ..JIONEE TOFAUTI YA WAREMBO WA MJINI NA VIJIJINI WAKIWA WANAKOGA...!!

0 comments
UNAAMBIWA Warembo wa bush hujiachia ile full nak*d mtoni kuosha miili yao bila tabu yoyote na kufurahia huku wakicheza na kumwagiana maji na michezo mingine ya kwenye maji...

Hii ndio tofauti ya kuoga mtoni na kwenye bwawa maalum la kuogelea "Swimming pool"..Jionee pichaz warembo wa town na bush wakioga hapa chini..
BUT PLIZ HAZINA MAADILI NDIO MAANA HATUJAZIWEKA PEUPE...

KAMANDA, ASKARI WAKE LAIVU,ALINASWA GESTI AKIWA NA ASKARI WAKE AMBAYE NI MKE WA MTU..!

0 comments
KAMANDA wa kampuni moja ya ulinzi ya jijini Dar es Salaam (jina tunalo), Japhet Misana ambaye pia ni mkuu wa kitengo cha mafunzo cha kampuni hiyo, Alhamisi iliyopita wakati Wakristo wakiwa kwenye hekaheka za Sikukuu ya  Pasaka, alinaswa gesti akiwa na askari wake ambaye ni mke wa mtu. 
Kamanda akiwa katika hali ya sintofahamu baada ya kunaswa akiwa na askari wake ambaye ni mke wa mtu.
Kamanda huyo na askari wake (jina tunalo) walijichimbia kwenye gesti hiyo iliyopo Tabata Matumbi, Dar kwenye chumba namba 6.
Kamanda wa kampuni ya ulinzi, Japhet Misana akivaa baada ya kunaswa akiwa na mke wa mtu.
Ilidaiwa na chanzo chetu kuwa, kamanda huyo alianza kutokwa na ‘mate’ ya matamanio kwa askari wake huyo tangu alipofika kwenye kampuni hiyo kuomba kazi.
...Akiwa chini ya ulinzi wa polisi.
Chanzo hicho kiliendelea kudai kuwa, askari huyo alipewa kazi kwa sharti la kutoa ‘burudani’ kwa kamanda huyo lakini baada ya kufanikiwa kupata ajira alianza kumpiga danadana mkubwa wake huyo kuhusu suala la ‘majamboz’ kama walivyokubaliana.
“Wakati danadana zikiendelea wapambe walimng’ata sikio mwenye mali kwa kumwambia kwamba asiwe ‘babu jinga’ kwani mali zake zinakaribia kuliwa na wapenda vinono,” kilisema chanzo.
Taarifa hizo, kwa mujibu wa chanzo, zilimshtua sana mwanaume huyo ambaye alianza kumwekea mtego mkewe pamoja na bosi wake kwa kumkabidhi kazi hiyo mdogo wake kuwa ‘shushu’.
Siku ya Alhamisi Kuu ambayo kimvua kilisumbua karibu jijini zima la Dar sanjari na kibaridi, shushu huyo alimsikia shemeji yake akizungumza kwenye simu na mtu mmoja aliyehisiwa kuwa ndiye kamanda wakiahidia kukutana kwenye gesti hiyo.
Shushushu huyo haraka alipiga simu kwenye chumba cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) na kuwaeleza mchezo mzima.Baada ya kupata taarifa hizo bila kuzubaa, makamanda wa OFM walitumia dakika zisizozidi 10 kutoka makao makuu ya ofisi zao zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar na kuwasili eneo la tukio.
OFM na shushu huyo waliwaona wawili hao wakiongozana na kupiga kona kadhaa kisha wakaingia kwenye gesti hiyo na kujichimbia kwenye chumba namba sita.Wawili hao wakiwa chumbani makachero wa OFM waliwasiliana na askari Polisi wa Kituo cha Tabata ambao nao waliwasili bila kuchelewa.
Walipofika waliingia ndani ya gesti hiyo na kumtaka mhudumu, walijitambulisha na kumweleza kilichowaleta pale ambapo mfanyakazi huyo wa mapokezi alikwenda kuwagongea wateja wake bila kuwaeleza kama arobaini yao ilitimia.
Kwa mujibu wa mpelelezi aliyetumwa na mume wa mwanamke huyo, mwanamke ndiye aliyefungua mlango akiwa na taulo huku kamanda wake akiwa kitandani.
Shushushu huyo aliongeza kuwa, baada ya kushuhudia tukio hilo alipandwa na jazba na kutaka kuwapa kipondo lakini polisi walimzuia na kumtia pingu kamanda huyo hadi kituo cha polisi.
Kamanda huyo na askari wake walifikishwa kituoni hapo na kuchukuliwa maelezo ambapo mwanamke huyo aliweka wazi tangu bosi wake huyo alipompa ajira kwa sharti la kumpa burudani na mengineyo.
Kamanda Misana alifunguliwa kesi ya kudai rushwa ya ngono kwenye jalada lenye namba TBT/RB/2280/2014 na kutupwa rumande.

MGANGA WA MASTAA BONGO KUMALIZA UGOMVI WA WEMA NA KAJALA, YADAIWA AMETUMWA NA DIAMOND KUFANYA HIVYO..!

0 comments


 WEMA SEPETU
 DOKTA KAMDEGE

 WEMA SEPETU & KAJALA MASANJA
Na Mwandishi Wetu
Yule mganga maarufu nchini wa mastaa mbalimbali wa filamu na muziki pamoja na vigogo wa Serikali amedaiwa kujipanga kwa ajili ya kumaliza bifu za wasanii hao waliokuwa marafiki wa kuzikana kabla ya kuhitirafiana hivi karibuni.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha karibu na mastaa hao kilisema kuwa" Kaka ugomvi wa Kajala na Wema unakwenda kuisha hivi soon kwani tayari yule mganga wa Diamond na mastaa wengine ameshaitwa ili kuja Dar kwa ajili ya kukaa nao chini kisha kuyamaliza hayo" Alisema mtu huyo
Hata hivyo mtandao huu uliwasiliana na mganga huyo kupitia simu yake ya kiganjani 0788-844490 alisema" Kwa sasa nipo Mwanza lakini Jumatatu ntarejea Jiji Dar na nitakaa chini na hao vijana wangu kwa ajili ya kuwapatanisha kwani nawamudu wote hivyo haitokuwa kazi ngumu kufanikisha jambo hilo" Alisema Dokta Kamdege

BOB JUNIOR AKANUSHA TETESI ZA GAZETI LA UDAKU KUWA AMEMLOGA DIAMOND...."NIUPUMB***VU KUANDIKA KITU KAMA HICHO, NIMEKASIRIKA SANA``

0 comments

Msanii wa muziki na producer wa Sharobaro Record, Bob Junior amekanusha habari zilizoandikwa na gazeti moja  la udaku kuwa anamloga Diamond.

Amesema hawezi Kufanya kitu kama hicho na Diamond atabaki kama Diamond na yeye kama yeye.
 
“Niupu…vu kuandika kitu kama hicho, nani mambo ya ki..nge,mimi nimekasirika sana,huwezi andika kitu kama hicho. Hivi mimi naweza nikamloga Diamond,unajua Diamond atabaki kuwa Diamond na Bob Junior atabaki kama Bob Junior,huu wote ni uongo tu,sipendi kuyaongelea haya mambo na sina tatizo na mtu yoyote,” amesema.
 
Pia Bob Junior alizungumzia tuhuma za kuhusisha muziki wake na waganga wa kienyeji.
 
“Sijawai kujihusisha na masuala ya waganga,mimi nimelelewa katika familia ambayo hata simjui mganga. Nashukuru Mungu toka nimezaliwa mpaka hapa. Sehemu kubwa yaani nasaidiwa na wazazi wangu vizuri mpaka ikafika wakati najitegemea mwenyewe. Kwahiyo sijui chochote kuhusu suala la mganga.”

HATIMAYE ODAMA ATAJA SABABU KUZAA NJE YA NDOA..!

0 comments

MKALI wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amesema sababu kubwa iliyomfanya azae nje ya ndoa ni maandalizi mazuri aliyojipangia.

Mkali wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’.

Odama ambaye amejifungua hivi karibuni, alisema aliamua kuzaa kwanza kisha ndoa ifuate hivyo hajutii uamuzi wake.
“Nimezaa kwa sababu nilijipanga, kuhusu kuolewa ni majaaliwa awe ni huyuhuyu niliyezaa naye au mwingine,” alisema Odama huku akigoma kumtaja baba mtoto.

INSTAA!!,MSANIII NISHA AAMUA KUMWEKA HADHARANI MPEZI WAKE UNAJUA ALICHOSEMA SOMA HAPA..!

0 comments

https://www.facebook.com/bongosingles

https://www.facebook.com/bongosingles
                                                     

Angalia picha za wasanii walioamua kutengeneza video za xxx..!

0 comments


Miley Cyrus sparked a firestorm of controversy when she appeared nude while riding an oversized wrecking ball in the video for her single “Wrecking Ball,” but many forget that artists stripping down for their music videos isn’t a new occurrence. Many have come before young Miley and many will come after…not that we’re condoning such actions. We’re just amazed at the level of confidence these folks have with their bodies. That’s gotta stand for something, right?
Here are 15 artists who have gone nude for music videos.

Miley Cyrus


Miley Wrecking Ball
Video: Wrecking Ball
Miley’s been living the wild life lately, particularly after her twerk-filled performance at the 2013 VMAs. Shortly after the controversial on-stage romp, the soon-to-be 21-year-old decided to strip down for the music video to her single “Wrecking Ball” released in September. During the video she’s seen swinging around unclothed riding on well…a wrecking ball while singing. It wasn’t the first time she was seen in shocking attire (or lack thereof), and likely won’t be the last.

Katy Perry

california-gurls-katy-perry
 Video: California Gurls
Colorful pop sensation Katy Perry decided to take a trip to Candyland for her 2010 chart-topping hit “California Gurls,” but this isn’t the Candyland from your childhood. A carefree Katy is seen in the video lying on her stomach sans clothes atop a cloud of cotton candy with nothing but a bit of pink fluff covering her bare bottom and chest.





Rihanna

Rihanna+Scenes+Rihanna+Stay+Video+2ekz2ht9ZHEl
Video: Stay
Rihanna, while no stranger to being raunchy in her performances and videos, surprisingly took a much more tasteful route when she decided to bare it all in the video for her 2013 ballad “Stay,” featuring Mikky Ekko. The singer is shown lying in a bathtub full of water throughout the entire piece, obviously unclothed but not in a provocative manner.The video is poignant and dramatic, a refreshing departure for the typically hyper-sexualized star.She also went bare for her colossal number one hit “Umbrella” in 2007, but her body was coated in silver paint and cleverly positioned to cover herself.

AIBU YA KARNE, JAMAA AWEKA PICHA ZA AIBU ZA MPENZI WAKE MTANDAONI BAADA YA KUSALITIWA NA BNTI HUYO KUNYAKULIWA NA PEDESHEE

0 comments


Another Bad Guy Leaks His Cheating Girlfriend Private Photos Online jointarena.com-1593743
Aibu kubwa, boy friend wa huyu bint pichani, ameamua kuziachia picha za mpenzi wake mtandaoni baada ya binti huyo kumsaliti na kutoka na kibosile, jamaa huyo ambae alioba hana njia nyingine ya kutafuta suluhisho ya tatizo lake zaidi ya kuvujisha picha za aibu za mpenzi wake mtandaoni
Angalia picha zaidi
Another Bad Guy Leaks His Cheating Girlfriend Private Photos Online 14
Another Bad Guy Leaks His Cheating Girlfriend Private Photos Online jointarena.com-157

AIBU YA KARNE, JAMAA AWEKA PICHA ZA AIBU ZA MPENZI WAKE MTANDAONI BAADA YA KUSALITIWA NA BNTI HUYO KUNYAKULIWA NA PEDESHEE

0 comments


Another Bad Guy Leaks His Cheating Girlfriend Private Photos Online jointarena.com-1593743
Aibu kubwa, boy friend wa huyu bint pichani, ameamua kuziachia picha za mpenzi wake mtandaoni baada ya binti huyo kumsaliti na kutoka na kibosile, jamaa huyo ambae alioba hana njia nyingine ya kutafuta suluhisho ya tatizo lake zaidi ya kuvujisha picha za aibu za mpenzi wake mtandaoni
Angalia picha zaidi
Another Bad Guy Leaks His Cheating Girlfriend Private Photos Online 14
Another Bad Guy Leaks His Cheating Girlfriend Private Photos Online jointarena.com-157

AIBU YA KARNE, JAMAA AWEKA PICHA ZA AIBU ZA MPENZI WAKE MTANDAONI BAADA YA KUSALITIWA NA BNTI HUYO KUNYAKULIWA NA PEDESHEE

0 comments


Another Bad Guy Leaks His Cheating Girlfriend Private Photos Online jointarena.com-1593743
Aibu kubwa, boy friend wa huyu bint pichani, ameamua kuziachia picha za mpenzi wake mtandaoni baada ya binti huyo kumsaliti na kutoka na kibosile, jamaa huyo ambae alioba hana njia nyingine ya kutafuta suluhisho ya tatizo lake zaidi ya kuvujisha picha za aibu za mpenzi wake mtandaoni
Angalia picha zaidi
Another Bad Guy Leaks His Cheating Girlfriend Private Photos Online 14
Another Bad Guy Leaks His Cheating Girlfriend Private Photos Online jointarena.com-157