Pata Habari kwa kuandika email yako hapa chini:

Showing posts with label VIJIMAMBO. Show all posts

Hizi ndizo hadhari za kunywa "VIROBA" kwa niaba ya kumkomoa Demu wako juu ya 6x6..!

0 comments

Tafadhali usimnywee demu wako viroba humkomoi yeye unajikomoa mwenyewe,ukiendeleahivyo iko siku utashindwa kusimamisha kabisaaaa mwisho wa siku utaanza kwenda kwa waganga kutafuta dawa. Hao wanawake za watu unaowasemea tatizo kubwa la waume zao wengi ni

1.
Uchovu: wengi wanakuwa na majukumu hata muda wa kufanya mapenzi na wake zao wanakosa kwasababu kazi zimemzid kila akirudi home kachoka hoi hajiwezi
2. Kisukari: Huu ugonjwa unasumbua wengi sana mtu mwenye kisukar kuridhisha mwanamke ni kazi sana japo kuna wengne wanajitahidi kwa hlo


3.Nyumba ndogo: Nina uhakika 100% kubwa wana wanawake nje na ndiyo inapelekea kushindwa kumtimizia mkewe ndani, kama ujuavyo nyumba ndogo shughuli yake nzito sasa jamaa akitoka huko kakwanguliwa kila kitu hata miguu inamtetemeka unadhani
V atawezaje kupiga game?
4. Maelewano mabovu pia huchangia, kama ndani ya nyumba kuna maugomvi kila siku sidhani pia kama hawa watu watakuwa wanaridhishana Kutokana na hizo sababu chache wanawake wengi sana ndani ya ndoa zao hukosa

TAZAMA PICHA ZA KISIMA CHA AJABU KILICHOPO MJINI DODOMA..!

0 comments
Koo mbili za Wanyazaga na Wambukwa mnyambwa wakiwa wamekusanyika kukizunguka kisima kinachosemekana kimejaa maajabu cha Bwibwi kilichopo Katika kijiji cha Iyumbu kilichopo pembezoni mwa Chuo kikuu cha Dodoma [UDOM] 

Baadhi ya wananchi wakifurahia kutumia maji yanayopatikana kisima cha Bwibwi kilichopo katika kijiji cha iyumbu Manispaa ya Dodoma, kisima hicho kilichovumbuliwa katikati ya miaka 1,800 kiko katika hatihati ya kufukiwa na eneo hilo lituumike kwa matumizi mengine.

Mkuu wa kimila wa kabila la kigogo Lazaro Chihoma akinywa maji yaliyochotwa kisima cha Bwibwi kilichopo Kijiji cha Iyubu Manispaa ya Dodoma, Kisima hicho kinachoaminika ni cha maajabu na mtu anayetumia maji yake hupata Mafanikio ya kiafya na kimaisha:

Watafiti wamekuja na hii sasa, Kulala chumba chenye mwanga kunasababisha unene..!

0 comments
lightKama ulikuwa hujui ngoja nikufahamishe, Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa huko nchini Uingereza umebaini kuwa kulala chumba chenye mwanga uliopitiliza kumehusishwa na mtu kuongeza unene wa kupindukia.
Timu ya watafiti kutoka Taasisi ya saratani ya jijini London imebaini kuwa wanawake wana nafasi kubwa ya kuongezeka unene kwa kulala vyumba vyenye mwanga mkubwa.
Hata hivyo utafiti huo unaonya kuwa hakuna ushahidi wa kutosha kuwa sasa watu waanze kununua mapazia mazito au ulazima wa kuzima taa wakati wa kulala.
Sasa jiulize kibongobongo hii imekaaje kutokana na mazingira ya nyumba zetu?

MOTO UAOWAKA KWENYE MAJI HUKO JAMAIKA INGIA UONE WATU NA IMANI ZAO..!

0 comments
huko nchini Jamaica katika mji wa ST. ANN kuna chemchem ya maji . Ndani ya chemchem hiyo kuna moto ambao huwaka masaa yote. Maelfu ya watalii humiminika katika mji huo kushuhudia maajabu hayo..Pamoja na picha, nimekuwekeeni na link ya you tube inayoo onyesha maajabu hayo ya uumbaji.








Huko nchini Jamaica katika mji wa ST. ANN kuna chemchem ya maji . Ndani ya chemchem hiyo kuna moto ambao huwaka masaa yote. Maelfu ya watalii humiminika katika mji huo kushuhudia maajabu hayo..Pamoja na picha, nimekuwekeeni na link ya you tube inayoo onyesha maajabu hayo ya uumbaji.








LINK : Jamaica Fire Water, St. Ann, Jamaica - YouTube

HILI NALO NI VAZI NA MTU ANAFILL COMFORTABLE KABISA KULIVAA!!!

0 comments
https://www.facebook.com/bongosingles
                                                  like page yetu kuona picha na nyingine bofya hapa

MAPENZI YA DHATI SIO KUPIGANA PICHA ZA UCHI NA KUDHALILISHANA, CHUNGA SANA..!!!

0 comments
http://theclicktz.com/
Kupigana picha za uchi imekuwa fashion siku, na unakubali vipi kupigwa picha za namna hiyo. wakati mwengine unaweza kujikuta kwenye matatizo makubwa bila kupenda, kwa mfano simu au kamera yenye picha hizo ikipotea ujue hapo ni balaa, huwezi kuwa na amani hata kidogo. Au aliyekupiga picha hizo mkigombana tu anaweza kukudhalilisha muda wowote. Chunga sana wengine hufikia hata uamuzi wa kujiua wakati akiona ameppata aibu, na ujiona hana dhamani tena baada ya picha kusambaa.

MTOTO ARARULIWA VIBAYA NA DADA YAKE!!!

0 comments
Screen Shot 2014-05-21 at 4.29.00 PMHii inaingia kwenye maktaba ya matukio ya kusikitisha kwenye idara ya  Hekaheka na leo ni kuhusu dada aliyeamua kumkata mikono kwa kisu mtoto wa ndugu yake kisa kikiwa ni shilingi elfu 10 ambayo anadai aliibiwa na mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba.
Screen Shot 2014-05-21 at 4.28.38 PM Screen Shot 2014-05-21 at 4.28.48 PMKwenye hii hekaheka utamsikia mtoto mwenyewe na mwalimu aliyempokea.

MACHANGUDOA WANASWA COCO BEACH!!!

0 comments
NI aibu sana! Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Oparesheni ya Fichua Maovu iliyosimamiwa na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar, OCD Wilbroad Mutafungwa na Ofisa wa Oparesheni, Inspekta Jacob Swai kwa kushirikiana na Global Publishers iliyonasa wanawake wanaojishughulisha na mambo ya ngono usiku kucha.
Katika oparesheni hiyo iliyofanyika usiku wa Jumapili iliyopita watu kibao walinaswa hasa katika Ufukwe wa Coco, jijini Dar akiwemo bibi harusi mmoja na mtoto wa kigogo (jina linahifadhiwa).
BIBI HARUSI LAIVU KWENYE BAJAJ Kwenye ufukwe huo, mwanamke mmoja ambaye jina halikupatikana, aliyedaiwa kufunga ndoa Ijumaa iliyopita, naye alikamatwa katika msako baada ya kunaswa na mwanaume wakifanya ngono kwenye Bajaj.
Katika tukio hilo, mwanaume alifanikiwa kutoka nduki huku akimwacha demu wake akijikusanya kwa kuvaa nguo. Mwanamke huyo naye alifanikiwa kuwatoka askari hao na kukimbilia chooni ambapo aliwakuta wanawake wengine waliojificha hivyo wakakamatwa wote kwa pamoja. Ili kuweka ushahidi, askari hao wa kazi waliikamata Bajaj hiyo.
ALIKWENDA KUKUMBUSHIA ENZI ZAKE Kwa mujibu wa mwanamke huyo, mkazi wa Kinondoni-Manyanya, usiku huo alifika mahali hapo kukumbushia enzi zake kabla ya kuolewa ambapo ilidaiwa kwamba alikuwa akijiuza ufukweni hapo. Alijitetea kuwa mume wake alisafiri hivyo akaona akakumbushie enzi zake kabla hata ‘hina’ aliyopakwa wakati wa harusi haijafutika mwilini. Pamoja na maelezo hayo, mwanamke huyo aliishia kwenye ‘difenda’ la polisi tayari kwa kupelekwa kituoni kwa maelezo zaidi.
BINTI WA KIGOGO Katika kundi hilo la wanawake na wanaume zaidi ya hamsini waliokamatwa ufukweni hapo usiku huo wa saa 9 na ushee, kulikuwa na mtoto wa kigogo mmoja serikalini katika idara nyeti ambaye alinaswa mchangani baharini akiwa kwenye kundi la makahaba. Mtoto huyo aligundulika kuwa ni binti wa mnene wakati wa kutoa maelezo kituoni Oysterbay.
MASIKINI ALIKUWA NA ‘BOIFRENDI’ WAKE Akijitetea wakati wa kutoa maelezo, binti huyo aliyeonekana mrembo na mwenye mvuto wa ajabu, alisema kwamba alikuwa na ‘boifrendi’ wake na kuwa alitoroka kwao usiku huo. Binti huyo aliomba chondechonde asipigwe picha kwani endapo itaonekana gazetini basi atakuwa amejipalia makaa nyumbani kwa vile hataeleweka kwa sababu anapatiwa fedha za matumizi pamoja na ada ya shule. Ukiacha mwanamke na binti huyo wa kigogo, wanawake wengine wengi walikamatwa, wengi wao walikutwa wakifanya vitendo vya ngono mchangani wakiwa ‘pea’.
MACHANGU WAFUNGUKA Kati ya wote waliokamatwa, wanawake kumi na tano walikiri kujishughulisha na biashara ya kuuza miili ambapo walisema wanafanya hivyo kutokana na ugumu wa maisha.
ACD MUTAFUNGWA ANASEMAJE? Kwa upande wake OCD Mutafungwa alisema wameamua kuyafanyia kazi malalamiko ya wananchi kwa kuvamia eneo hilo.
INSPEKTA SWAI ATIA NENO Naye Inspekta Swai aliyekuwa ‘front’ katika zoezi hilo alisema kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu kila wiki ili kukomesha vitendo viovu katika ufukwe huo.
NI MATOKEO YA GAZETI LA RISASI Oparesheni hiyo ilikuja siku chache baada ya gazeti ndugu la hili, Risasi Mchanganyiko, toleo namba 1000 la Jumatano ya Aprili 17-19 kuripoti ufuska unaofanyika katika ufukwe huo usiku wa saa 9 na kuendelea. Uchunguzi wa gazeti hilo ulieleza kiundani vitendo vya ngono, usagaji, ubakaji, ushoga na ujambazi vilivyokuwa vikifanyika eneo hilo hivyo Jeshi la Polisi Kinondoni wakaona kuna kila sababu ya kufumua uozo huo kwa kuwa ni wachapakazi.

Picha 5 za utani uliosambazwa baada ya Solange kumpiga ‘shemeji’ Jay Z

0 comments
Screen Shot 2014-05-13 at 10.58.04 AMBaada ya kuvuja kwa video ikionyesha jinsi rapper Jay Z akipigwa na shemeji yake (Solange) wakiwa kwenye lift huku Beyonce mwenyewe akiwa pembeni yao akishuhudia ugomvi bila kujihusisha wala kuzuia, uongozi wa hoteli ugomvi huo ulipotokea huko New York umesema unachunguza kujua video hiyo ilivuja vipi na kupeleka siri za wateja kwenye vyombo vya habari.
Kwenye ugomvi huu ambao Jay Z ameonekana kusifiwa na watu wengi kwa kuwa mkimya na bila kujibu mashambulizi pamoja na kupigwa mateke na kurushiwa vitu, tayari watundu wa mitandaoni wameanza yao kwa kutengeneza picha na maandishi vikimtania Jay Z pamoja na Solange.
Screen Shot 2014-05-13 at 10.57.08 AM
Screen Shot 2014-05-13 at 10.58.23 AMKutokana na ile single ya Jay Z iitwayo ’99 problems’ yaani matatizo 99… watu wamemtengenezea utani kwamba Solange ni tatizo la 100 la Jay Z.
Screen Shot 2014-05-13 at 10.58.40 AM
Screen Shot 2014-05-13 at 10.59.01 AMSehemu ya utani mwingine ni hii ya historia kwenye wikipedia ya Solange na kuifanya itoe maelezo kwamba Solange ni mwimbaji, mwandishi wa nyimbo, kicker, streetfighter na tatizo la 100 la Jay Z.
Screen Shot 2014-05-13 at 10.59.36 AMScreen Shot 2014-05-13 at 12.06.56 PM




DUNIA IMEKWISHA..MAMA AUZA BIKIRA YA BINTI YAKE WA MIAKA 12 KWA LAKI 8,ILI ALIPE MADENI...!!!SOMA ZAIDI HAPA.. !!!

0 comments
KUSHOTO: Mama huyo, Rotana akionesh picha aliyopiga na binti yake huyo. 
KULIA: Dara Keo. Raia wa Cambodia, Dara Keo wakati akiwa na miaka 12 mama yake mzazi, Rotana aliuza bikira ya mtoto wake huyo kwa tajiri ili apate pesa kulipa deni la kamari la marehemu mumewe.
 
Keo ambaye sasa ana miaka 17 ametoa siri hiyo sasa ambapo mama yake naye anafafanua "wanaonidai walikuwa wakinitishia maisha na kunifanyia vurugu na mimi sikuwa na uwezo wa kulipa".

Rotana mwenye miaka 62 kwa sasa anasema wakati huo alikuwa akipata dola moja ya Kimarekani kwa siku (Sh 1,600) na kubainisha "uoga, wasiwasi kuhusu madeni viliniumiza na mwishowe nilikata tamaa".

Kwa mujibu wa utamaduni wa dini ya Tao ya nchini humo, kufanya mapenzi na msichana bikira kunaongeza muda wa kuishi. Awali Keo alipelekwa kwa daktari kuhakikisha kama kweli ana bikira ili kuondoa wasiwasi kwa mwanaume angenunua bikira yake kutokana na kwamba madalali wa bikira wamekuwa matapeli na kuwaweka bikira za bandia wasichana ili wapate fedha nyingi.

"Baada ya kupata uhakika wa kuwa na bikira nilipopelekwa kwa mwanaume aliyenunua bikira yangu na nilikaa huko kwa wiki nzima ambapo alikuwa akinibaka bila kutumia kondomu,"anasimulia Keo.
Mwanaume aliyenunua bikira ya Keo alikuwa mwanasiasa maarufu. Hata hivyo Keo na mama yake wamekataa kumtaja jina.


Keo anasema "aliniweka kwenye hoteli kwa wiki moja na kila siku alikuwa akija mara mbili hadi mara tatu na kunibaka, alikuwa akitumia nguvu na niliumia sana".

Baada ya wiki moja Keo aliachwa na michubuko na kulia sana na hakuweza kutembea na alipatwa na maumivu makali pindi alipokwenda haja ndogo kwa wiki mbili.

Keo ni miongoni mwa wasichana wadogo wengi ambao bikira zao zinauzwa nchini Cambodia kwa wanasiasa na polisi ambao ndiyo wateja wakubwa. Familia zinazouza bikira hizo za watoto wao hupata dola za kimarekani 1,500 (Sh milioni 2.4) ambayo ni sawa na mshahara wa mkuu wa familia kwa miaka minne.

Kwa upande wa Rotana kutokana na kukabiliwa na madeni mengi na kutishiwa maisha aliuza bikira ya Keo kwa dola za kimarekani 500 tu(Sh 800,000).

Vannith Uy (41) anayefanya kazi kwa miaka mingi kama mpishi kwenye baa ijulikanayo Beer Garden ambapo wasichana huonesha sehemu ya maungo yao kuwavutia wanaume wanaotafuta wasichana bikira waweze kulala nao, anasema yeye mwenyewe aliuza bikira ya mtoto wake, Chamnan Sok wakati mwanawe huyo akiwa na miaka 18.

Anasema ameshashuhudia zaidi ya wasichana 50 wakifanya kazi kwenye baa hiyo waliouza Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha kulinda Haki za Watoto cha Cambodia, Nget Thy anasema watoto wa nchini humo wapo kwa ajili ya kuwafaidisha wazazi wao na si vinginevyo na hata haki za watoto hazitambuliki.

REHEMA: NILIMSHUHUDIA MUME WANGU JUMA AKIMBAKA MWANANGU WA MIAKA 9 !!!!!

0 comments


Rehema Saidi akielezea kitendo alichofanyiwa mtoto wake.


Newala. Kutokana na kumwamini mumewe, Rehema Saidi, mkazi wa kijiji cha Rahaleo, Kata ya Mkunya Wilaya ya Newala mkoani Mtwara, hakuwahi kutia shaka pale alipomwacha na watoto, wakati yeye alipolazimika kutoka kwenda sehemu yoyote kwa ajili ya shughuli za kifamilia.

Rehema na mumewe Juma Malolo waliishi na watoto wawili; mwenye umri wa mwaka ambaye walimzaa pamoja na mwenye umri wa miaka tisa ambaye (Rehema) alimzaa kwa mwanamume mwingine kabla ya kuolewa mara ya pili.

Mwanamama huyu anasema aliishi kwa raha mustarehe na familia yake na katika mazingira ya kawaida, hakuwahi kuwaza kutokea kwa kitendo alichokishuhudia Agosti, 14 mwaka jana, pale alipomkuta mumewe (Malolo) akimbaka binti yake (jina tunalihifadhi).

Rehema anasimulia kwamba siku ya tukio alikuwa akitoka sokoni alikokwenda kuchuuza mbogamboga kwa ajili ya kupata fedha za kujikimu yeye na familia yake.

¡°Niliporudi nyumbani nilifungua mlango bila hata ya kubisha hodi kwa sababu ni nyumbani kwangu na wala sikuwa na hofu ya jambo lolote¡-sikuamini pale nilipomkuta mume wangu akiwa anambaka mtoto wangu, kwanza nilipigwa na butwaa, nikapandwa na hasira, nilimvamia na kuanza kumpiga Niliumia sana kiasi siwezi hata kuhadithia aina ya maumivu niliyoyapata,¡± anasimulia kwa huzuni.

Anabainisha kuwa baada ya hapo, alitoka nyumbani hapo kuwaita majirani ili waweze kushuhudia kitendo hicho, lakini aliporejea hakumkuta mumewe kwani alikuwa ameondoka na kibaya zaidi alichukua fedha zilizotokana na biashara yake Sh40,000 ambazo zilikuwa ndiyo akiba pekee aliyokuwa amebaki nayo.

¡°Nilikwenda kwa baba wa mtoto kumwambia ili anisadie fedha ya kwenda mjini kutoa taarifa polisi lakini alisema hana fedha. Hivyo nilishindwa kwenda na hata hospitali kumpima, kwa sababu sikuwa na fedha tena ...nilibaki nyumbani huku nikilalamika kwa kitendo alichofanyiwa mwanangu,¡± anasema Mariam.
Anaeleza kuwa alikaa siku tatu bila kumwogesha binti yake kwa lengo la kutunza ushahidi wa kitendo alichofanyiwa na wakati huo alikuwa akitafuta fedha ili aende polisi na baadaye kumpeleka hospitali, lakini hakufanikiwa.

Mariam anasema baada ya siku tatu kupita huku akiwa amepoteza matumaini ya kupata nauli, alimwogesha mtoto huyo, hivyo ni dhahiri kwamba alipoteza ushahidi wa kitendo alichofanyiwa.

Ilikuwaje?
Rehema anasema siku ya tukio, Agosti 14 mwaka jana aliondoka nyumbani kwake saa 11 alfajiri kwenda shambani kwa Mzee Makwedu umbali wa kilomita tatu kutoka kijijini kwake, kununua majani ya kunde ili ayapeleke Mjini Newala kuyauza.

Anasema alimwacha mumewe na watoto wawili. ¡°Nilimuaga mume wangu na kumwacha na watoto wote wawili, kwa kuwa nilimwacha na mtoto mchanga wa mwaka mmoja niliamua kufanya haraka ili asije akaanza kulia wakati sijarudi,¡± anasimulia na kuongeza:

¡°Kwa hiyo nilikuwa nakimbia wakati wa kwenda na hata wakati wa kurudi, lakini nilichokiambulia ni hicho nilichokiona.

Anasema katika miaka miwili ya ndoa aliyoishi na Malolo hakuwahi kuwa na shaka juu ya binti yake, kwani alihakikisha anamtimizia mumewe mahitaji yote ya ndoa.

¡°Kama mwanadamu niliwahi kuwaza kwamba mume wangu angeweza akawa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwingine, lakini sikuwahi kufikiri kuwa anaweza kumgeuza binti yake kuwa ¡®mke mwenza wangu¡¯,¡± anasema Mariam.

Kwa upande wake binti aliyebakwa mwenye umri wa miaka tisa (jina tunalihifadhi), anakiri kwamba baba yake huyo wa kufikia amekuwa akimfanyia vitendo hivyo mara kwa mara, huku akimtisha kumchinja iwapo angetoa taarifa kwa mama yake au mtu mwingine yeyote.

¡°Alikuwa akinifanyia mara kwa mara, mama anapoondoka kwenda katika shughuli zake za biashara ya mboga, alikuwa ananiita na kuniambia njoo ndani tufanye mambo na kunikataza nisiseme nikisema atanichija,¡± anasimulia binti huyo.

Hija Ahmad ambaye ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Rahaleo, anasema alishtushwa na tukio hilo ingawa juhudi za kumnasa mwanamume huyo hazijazaa matunda hadi sasa.

Ahmad anasema binti huyo kwa umri alionao, anahitaji msaada wa matibabu ya kisaikolojia. ¡°Mtoto huyu kwa sasa ameathirika kisaikolojia kutokana na kuzomewa na wenzake, mara nyingi utamkuta amejitenga ¡-.nadhani unahitajika msaada wa kumtibu kisaikolojia,¡± anasema.

Katibu wa asasi ya kutetea haki za wanawake wilayani Newala (NEWORA), Mwanahamisi Fakihi anathibitisha kupokea taarifa za tukio hilo na kwamba jitihada zinaendelea kumsaka muhusika ili afikishwe mahakamani.

Ubakaji Newala
Mganga Mkuu wa Hospital ya Wilaya ya Newala, Dk. Yudas Ndungile anasema matukio ya ubakaji yameongezeka katika wilaya yao na takwimu zinaonesha kuwa mwaka 2012 walipokea kesi saba za ubakaji na mwaka jana kesi 11.

¡°Matukio ya ubakaji ni hatari kwa afya za wabakaji na wabakwaji, unajua kuna maradhi ya ngono ikiwa pamoja na Ukimwi, pia watoto wanaobakwa husababishiwa madhara makubwa ya kisaikolojia, wito wangu kwa jamii iamke kupambana na vitendo hivi vya ubakaji,¡± anasema Dk. Ndungile.

Karani wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Newala, Maweda Samuel anasema mwaka 2012 walipokea kesi saba za ubakaji na kati ya hizo, kesi namba 134 ilivunja rekodi kwani washtakiwa watatu walitiwa hatiani kwa kumbaka mwalimu na wote walihukumiwa kwenda jela.

Samuel anasema kuwa mwaka jana kulikuwa na kesi 11 za ubakaji mojawapo ikiwa ni ileinayomuhusu mshtakiwa anayetuhumiwa kwamba alimlawiti mbuzi hadi kufa. Mshtakiwa huyo yupo mahabusu hadi sasa kutokana na jamii kutaa kumwekea dhamana kutokana na kuchukizwa na kitendo hicho.

Ofisa Ustawi wa Jamii wa Wilaya ya Newala, George Martin anasema vitendo vya ubakaji kwa watoto vinashamiri katika wilaya hiyo na kuhusisha na imani ya kishirikina kuhu akieleleza kuwa tiba yake ni kutoa elimu kwa jamii juu ya athari za vitendo hivyo.

¡°Kwanza jamii ishirikiane na polisi katika kuwafichua wahalifu wa matukio haya ili sheria ifanye kazi yake na kutoa fundisho kwa wengine,¡± anasema Martin.

Mkuu wa wilaya hiyo, Christopher Magala anasema vitendo vya ubakaji havikubaliki ndani ya jamii na kusisitiza kuwa watakaobainika kujihusisha na tabia hizo watachukuliwa hatua za kisheria.

¡°Wananchi wasisubiri mambo yaharibike ili tulaumiane, wahakikishe wanatoa taarifa hata kama ni za siri polisi au mahala husika ili wabakaji wadhibitiwe,¡± anasema Magala.

Vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia ukiwamo ubakaji, vinaendelea kushamiri nchini licha ya kuwepo kwa sheria ya makosa ya kujamiana ya 1998 (SOSPA) inayotoa adhabu ya kifungo cha maisha jela au miaka isiyopungua 30 kwa mtu anayepatikana na hatia kwa kosa hilo.

Tafiti zilizofanywa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) zinathibitisha kwamba vitendo vya ukatili hususan ubakaji ni vingi katika jamii, chanzo kikuu kikiwa ni kuporomoka kwa maadili na athari za utandawazi.

HARAFU BADO MNASEMA DIAMOND ANAPESA KAZI IPO KWA MSANII RAY ASEMA UTAJIRI WAKE HAKUNA MSANII YEYOTE ANAEMFIKIA TANZANIA ANA BILION KAHDA BANK ZIMEPUMNZIKA..!

0 comments

                                                                            Ray

Star wa filamu nchini Vicent Kigosi "Ray" amesema kuwa yeye ana pesa na mali nyingi na hakuna msanii yeyote wa Tanzania awe wa filamu au muziki  anayemfikia sema hapendi tu kujitangaza kama baadhi ya mastaa wenzake akidai ni ulimbukeni. "hakuna msanii anayenizidi uwezo kuanzia mali na hata fedha niko mbali sana mimi, hata gari ninalotembelea hakuna msanii aliyenalo kama ingekuwa ni mtu wa kujisifusifu na kutafuta sifa za kijinga jamii ingejua" alisema star huyo wa filamu za Oprah, Sobbing Sound, Hard Price na Handsome Wa Kijiji akizungumza na gazeti moja.
Ray vile vile aliamua kurusha kombora kwa wabaya wake wasiopenda maendeleo yake kwa kusema "wanaongea sana majungu,  fitina na vitu ambavyo havipo kuhusu mimi, mimi ni jembe, kwanini wasiangalie maisha yao? leo msanii unateta nae dakika hiyo hiyo anageuza maneno hayo kuwa majungu, acha nikae peke yangu nifanye issue zangu"