Pata Habari kwa kuandika email yako hapa chini:

Showing posts with label BURUDANI. Show all posts

FORD NI GARI AMBAYO INAKUJA KWA KASI SANA KIASI KWAMBA MATAJIRI WENGI NDO WENYE UWEZO WA KUZIMILIKI TU!!!

0 comments
ford3Inawezekana ukawa mmiliki wa magari aina ya Ford ambay ni miongoni mwa kampuni kubwa za kutengeza magari nchini Marekani kwa sasa imeagiza magari milioni 1.4 yarejeshwe kutokana na hitilafu
Hitilafu iliyotajwa ni ya usukani ambapo takriban magari milioni 1.1 yaliyoundwa kwa mtindo wa kispoti yaliyokuwa yameuzwa Marekani Kaskazini yametakiwa kurejeshwa.
fordMagari mengine 200,000 yenye muundo wa Taurus yaliyoundwa kati ya mwaka wa 2010 na 2014 yanaweza kukutwa ana tatizo la kushika kutu kwa harakakwa matukio hayo yaliyofanywa hivi karibuni huenda yakaifanya kampuni hiyo kuvunja rekodi ya kutaka magari mengi zaidi yarejeshwe katika kipindi cha mwaka mmoja.
Kurejeshwa huko kwa magari hayo kumetokea wakati sakata ya usalama inawakumba wapinzani wakuu wa kampuni ya hiyo ambao ni General Motors (GM).
GM iliwahi kulaumiwa kwa kutotoa ilani za kiusalama kwamba baadhi ya magari yake hata baada ya kubaini kuwa magari hayo yanazima ghafla,dosari hiyo imehusishwa na vifo 13,ingawa wasanifu wa Marekani wanaamini kuwa idadi hiyo itaongezeka.

Home » Ent. » Watoto wenye vipaji vya kucheza 2014, mmoja katisha na hii ya Michael Jackson. Watoto wenye vipaji vya kucheza 2014, mmoja katisha na hii ya Michael Jackson.

0 comments
Screen Shot 2014-05-29 at 9.16.41 AMKwenye dunia hii ambayo internet imekua ikihusika kuonyesha mambo mengi yanayotendeka duniani, tumeshuhudia vitu mbalimbali ambavyo vimekua vikubwa baada ya kufika kwenye internet ambapo mfano mzuri ni hawa watoto kwenye mashindano ya vipaji vya kucheza.
Wa kwanza ni huyu alieshinda kwenye shindano kwa kucheza kama Michael Jackson ambapo video yake imewekwa kwenye mtandao May 21 2014 na mpaka sasa imetazamwa na zaidi ya watu laki moja na elfu kumi

Jibu la Irene Uwoya baada ya kuulizwa uhusiano wake na Msami wa THT..!

0 comments
msamiiiiiJana May 28 kupitia You heard ya XXL Clouds FM ilikua ni stori kuhusu uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji toka Bongo Movie Irene Uwoya na jana alisikika Msami ambaye alikanusha uhusiano lakini mpenzi wake Rehema aliweka wazi kuwa ni kweli Msami ana uhusiano wa kimapenzi na Irene Uwoya.
bilaaSasa May 29 2014 ishu hii imeendela ambapo katafutwa Irene Uwoya na kuulizwa na Soudy Brown kama ni kweli ana uhusiano wa kimapenzi na Msami na swali la kwanza lilitaka kujua uhusiano wao umekuepo toka lini?
Irene Uwoya: ‘Siku nyingi’
Soudy Brown: Msami kama namuona, unampa huduma zote?
Irene Uwoya: ‘Sanaaa kila kitu’
Soudy Brown: Uhusiano wenu utadumu au ndio kama wa Ndikumana?
Irene Uwoya: ‘Yakudumu kwa sababu nampenda’.
Soudy brown alimpa Irene taarifa kuwa mpenzi wa zamani wa Msami amekasirika kwa sababu Irene kaingilia mapenzi yao jibu kutoka kwa Irene likawa ‘hiyo haijalishi kwa sababu nampenda’

TAZAMA PICHA NYINGINE ZILIZOMAKE HEADLINE PANDE ZA INSTAGRAM SIKU YA JANA

0 comments

MMHHH.. MAMBO YA SWIMMING NAYO YANATAKA MOYO..!! HAYA SI MAKUSUDI KABISA..!!

0 comments
Mtaua watu namna hii jamani..!!

VICTORIA KIMANI AVUA NGUO ADHARANI!!

0 comments
 
Victoria Kimani ameamua kujipamba na urembo wa Pwani kwa kujichora na tattoo za Henna. 
Na muimbaji huyo mrembo wa Kenya aliyetua Dar es Salaam wiki hii kung’arisha uzinduzi wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, ameamua kuyaonjesha macho ya followers wake wa Instagram jinsi urembo huo ulivyomtoa chicha, mashalaah.. Safisha macho kwa uumbaji huu wa Mola..

Victoria akiwa na watangazaji wa Choice FM, Vanessa Mdee na Mandingo!!!!

Queen Vee akiwa na watangazaji wa Clouds FM, B-Dozen, Adam Mchomvu na DJ Fetty
Ki-Money ameendelea kufanya interview kwenye vituo mbalimbali vya radio nchini. Jana alihojiwa Clouds TV, kwenye XXL ya Clouds FM na Choice na leo alikuwa Times FM

Msanii Keysha Hatimaye Amejifungua Mtoto Wa Pili Ambaye Ni Wakiume, Tazama Picha Za Mtoto Huyo Na Mama Yake.!.

0 comments

Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya nchini, Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni.
Akizungumza na Bongo5 leo Keisha,amesema anashukuru Mungu amejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri. “Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni. Namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto anaendelea vizuri,” amesema.

WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC NI HAWA..!

0 comments
Msanii Bora Chipukizi Anayeibuka, Young Killer akiwashukuru mashabiki baada ya kutwaa tuzo.

1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - Bora Mchawi, Dar Bongo Massive
2. MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer 
3. WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya, Lady Jaydee
4. WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One, Diamond Platnumz
5. WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL - Nishai Chibwa Ft Juru
6. WIMBO BORA WA RAGGAE - Niwe na wewe, Dabo
7.WIMBO BORA WA TAARAB - Wasiwasi wako, Mzee Yusuf
8. KIKUNDI CHA MWAKA CHA TAARAB - Jahazi Modern Taarab
9. MWIMBAJI BORA WA KIKE  TAARAB - Isha Ramadhani
10. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB - Mzee Yusuf
11. WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI - Ushamba mzigo, Mashujaa Band
12. MWIMBAJI BORA WA KIKE BENDI - Luiza Mbutu
13. MWIMBAJI BORA WA KIUME BENDI - Jose Mara
14. RAPA BORA WA MWAKA BENDI - Furguson
15. BENDI YA MWAKA - Mashujaa Band
16. MWIMBAJI BORA WA KIKE, KIZAZI KIPYA - Lady Jaydee
17. MWIMBAJI BORA WA KIUME, KIZAZI KIPYA - Diamond
18. KIKUNDI CHA MWAKA CHA KIZAZI KIPYA - Weusi
19. WIMBO BORA WA RNB - Closer, Vanessa Mdee
20. WIMBO BORA WA HIP HOP - Nje ya Box, Nick wa Pili Ft Joh Makini & Gnako
21. MSANII BORA WA HIP HOP - Fid Q
22. WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHA / KUSHIRIKIANA - Muziki Gani, Nay wa Mitego ft Diamond
23. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI - Tubonge, Jose Chameleone
24. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB - Mzee Yusuf
25. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI - Christian Bella
26. MTUNZI BORA WA MWAKA KIZAZI KIPYA - Diamond
27. MTUNZI BORA WA MWAKA HIP HOP - Fid Q
28. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA TAARAB - Enrico
29. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA BENDI - Amoroso
30. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA KIZAZI KIPYA - Man walter
31. HALL OF FAME -  Hassan Rehani Bitchuka
32. HALL OF FAME INSTITUTION - Masoud Masoud 
33. VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA -  Number One, Diamond Platinumz
34. WIMBO BORA WA MWAKA - Number One, Diamond Platinumz
35. MTUIMBUIZAJI BORA WA KIKE WA MUZIKI - Isha Ramadhani
36. MTUIMBUIZAJI BORA WA KIUME WA MUZIKI - Diamond Platinumz

PICHAZ: MWANA FA AKIFANYA YAKE USIKU WA UTOAJI TUZO ZA KILI..!

0 comments

 Mwanamuziki FA akifanya vitu vyake katika usiku wa utoaji tuz za Kili ndani ya Mlimani City.

Madansa wa FA waliokuwa wamevalia Kimasai wakitoka stejini baada ya makamuzi.
 FAHAMU WASHINDI WA TUZO HIZO LIVE KWA KUBOFYA HAPA

HATIMAYE MWIGULU NCHEMBA AAMUA KUBEBA ZEGE MWENYEWE HEBU MCHEKI HAPA LIVE..!

0 comments
Mh:Mwigulu Nchemba akisaidia Kupandisha Udongo kwa Mafundi wakati alipotembelea Kukagua Ujenzi wa Maabara ya Kisasa Shule ya Sekondari Ntwike  Jimboni Kwake Iramba.

MSANII MDADA MWENYE SURA NA UMBO ZURI BONGOFLAVA!!!

0 comments
mobetoIlishawahi kutoka taarifa ambayo haikuwa rasmi kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Diamond Platnumz na Hamisa mobeto ambayo Soudy Brown leo ameonge na Hamisa Mobeto baada ya kusemekana kuna ofisi anataka kufungua mabayo ndani yake kuna mkono wa mshindi wa tuzo 7 za Ktma2014 Diamond Platnumz.
mobeto.png288.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tabora.
Bonyeza play kusikiliza.

Ronaldo na mpenzi wake nao wala shavu ni baada ya Kim na Kanye...!

0 comments
Bn_QOpaCEAAStDrJarida la Vogue la Marekani mwezi uliopita liliwatoa kwenye cover wapenzi wanaotarajiwa kufunga ndoa hivi karibuni Kim Kardashian na Kanye West, na mauzo ya jarida hilo yakawavunja rekodi ya cover za nyuma za jarida hilo, baada ya mafanikio hayo inaonekana Vogue sasa wamenogewa.
Jarida la Vogue lakini safari hii la Hispania limeamua kujibu mapigo ya wenzao wa US kwa kuwaweka kwenye cover mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo na mchumba wake mwanamitindo Irina Shayk.
Irina ambaye ni raia wa Urusi ni mmoja wa wanamitindo maarufu duniani, kwa pamoja na Ronaldo, Vogue wanategemea kuuza nakala nyingi sana la jarida lao hilo linalotarajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi huu.

BONGE LA VIDEO!!! Nafasi ya kutazama jinsi video mpya ya Shaa ilivyokua ikitengenezwa. @loveness de bevy_TZ!!!

0 comments
5shaa
Location ni Manzese maeneo ya Tiptop Connection
Huu ni wimbo mwingine mpya kutoka kwa Shaa ‘subira’ ambao uko kwenye mahadhi kama ya mduara na haujaachiwa rasmi bado na video yake imeanza kufanywa ikiongozwa na Adam Juma kutoka Next Level na audio imefanywa na producer Shirko kwenye studio za Mkubwa na Wanawe.
4shaa
5shaa
6shaa
7shaa
9shaa
10shaa
11shaa
12shaa
15shaa
16shaa
28shaa
31shaa
32shaa
54shaa
63shaa
53shaa
42shaa
38shaa
24shaa
26shaa
Vanessa Mdee alikuwepo sehemu ya tukio tu kutoa support ila hatoonekana kwenye video.
29shaa
31shaa
21shaa
20shaa
18shaa
15shaa
13shaa
11shaa
1shaa
4shaa
5shaa
8shaaScreen Shot 2014-05-19 at 12.32.45 AM