Pata Habari kwa kuandika email yako hapa chini:

RECHO Kuanzia Leaders mpaka Makaburi ya Kinondoni,hii ndiyo safari ya mwisho ya Rachel Haule. Kuanzia Leaders mpaka Makaburi ya Kinondoni,hii ndiyo safari ya mwisho ya Rachel Haule.

0 comments
11ripMuigizaji kutoka kiwanda cha filamu Bongo Rachel Haule leo amezikwa kwenye makaburi ya Kinondoni Dar es salaam kabla ya mazishi kulikua na ibada iliyoambatana na watu kutoa heshima za mwisho kwenye viwanja vya Learders.
2ripWaigizaji,waimbaji pamoja na wananchi wamejumuika katika safari hii ya mwisho kumsindikiza Rachel Haule,miongoni mwa vitu vilivyoteka hisia za watu ni kudondoka na kupoteza kwa filamu kwa muigizaji Irene Uwoya kisha kukimbizwa hospitali.
50rip
51ripRachel haule amezikwa na kichanga chake ambacho kilipoteza maisha baada ya kuzaliwa hivyo kaburi la Recho limeunganishwa na marehemu mtoto wake, Hizi ni miongoni mwa picha za mazishi haya.
5rip
8rip
12rip
13rip
14rip
15rip
16rip
18rip
19rip
22rip
23rip
24rip
25rip
26rip
27rip
30rip
32rip
33rip
34rip
39rip
41rip
42rip
43rip
55rip
52rip
47rip
44rip
59rip
63rip
71rip
73rip
74rip
87rip
82rip
81rip
80rip
77rip
75rip
93rip
95rip
99rip
104rip
106rip
113rip
114rip
115rip
116rip
118rip
119rip
121rip
130rip
129rip
128rip
125rip
124rip
123rip
131rip
132rip
133rip
134rip
136rip
137rip
144rip
143rip
142rip
140rip
139rip

138rip
145rip
158rip
178rip
179rip
159rip
146rip
150rip
167rip
180rip
182rip
171rip
153rip
156rip
176rip
185rip
186rip
177rip
157rip
188rip
200rip
216rip
189rip
202rip
217rip
218rip
203rip
190rip
191rip
204rip
220rip
211rip
198rip
199rip
214rip
252rip
258rip
259rip
261rip
263rip
265rip
266rip
267rip
270rip
271rip
272rip
285rip
284rip
283rip
280rip
279rip
278rip
286rip
287rip
288rip
289rip
291rip

292rip
301rip
300rip
298rip
295rip
294rip
293rip
306rip
308rip
309rip
310rip
311rip
326rip
321rip
319rip
316rip
314rip
313rip
327rip
329rip
330rip
331rip
332rip
334rip
335rip
339rip
342rip
344rip
350rip
345rip
347rip
352rip
355rip
357rip

Use Facebook to Comment on this Post


Kwa nini watu hupoteza hamu ya kujamiiana?..SOMA HAPA UPATE UDAKU ZAID..!

0 comments


Kwa nini watu hupoteza hamu ya kujamiiana?


 
 
Katika utafiti uliofanyika miaka ya karibuni nchini Marekani, imebainika kwamba kati ya ndoa 6,000 zilizovunjika, asilimia 57 zimesababishwa na mwenza mmoja au wote kupenda kuchati au kutumia intaneti kupita kiasi na hivyo kusababisha msisimko kupotea kati ya wenza wawili na hatimaye mwisho ni kupungua uwezo au hamu ya kujamiana.
Ni kundi gani la wanawake lililo katika hatari ya kukumbwa na tatizo hili?
 
• Wanawake ambao wana historia ya kupungua hamu ya kujamiana
• Wale ambao wamefanyiwa upasuaji wa kuondoa mayai yao ya uzazi kutokana na sababu mbalimbali
• Wanawake waliofika umri wa kuacha kupata hedhi (miaka 42-58)) na kupata dalili mbalimbali kama kutokwa na jasho usiku, kukosa usingizi mzuri na msongo wa mawazo.
Kwa wanaume, visababishi vya tatizo la kupungua hamu au uwezo wa kujamiana ni kama ifuatavyo;
• Msongo wa mawazo kama nilivyoeleza hapo juu. Kupungua au kukosekana upendo/mapenzi katika uhusiano/ndoa.
• Unywaji pombe kupindukia kama nilivyoeleza awali.
• Utumiaji wa dawa za kulevya
• Uvutaji sigara – Hupunguza kiwango na uzito wa mbegu za kiume.
• Uzito wa mbegu za kiume hupungua kwa asilimia 22-57 kwa wale wanaovuta sigara. Uwezo wa mbegu za kiume kuogelea kwenye mirija ya uzazi ya mwanamke pia nao hupungua kwa asilimia 20 kwa wale wanaovuta sigara ikilinganishwa na wale wanaume wasiovuta sigara.
Utafiti mwingine umethibitisha kuwa wanaume wanaovuta sigara wana asilimia kubwa ya kutoa mbegu ambazo hazina maumbile mazuri au ya kawaida na hivyo kuongeza uwezekano wa mimba kutoka au kuzaa mtoto mwenye maumbile ambayo siyo ya kawaida. Tafiti mbalimbali pia zimethibitisha kuwa uvutaji sigara huharibu mirija ya seminiferous tubules ambayo hupatikana kwenye korodani na ni sehemu ambapo mbegu za kiume hutengenezwa, hivyo uharibifu wake hupunguza wingi na uzito wa mbegu
Pia uvutaji sigara hupunguza vichocheo aina ya testerone, growth hormone, na vinginevyo. Wanaume wenye kiwango kidogo cha testerone huwa na tatizo la kupungukiwa uwezo wa kujamiana na kiwango kidogo cha mbegu.
Uvutaji sigara hupunguza mzunguko wa damu unaopita/kwenda kwenye moyo na kwenye uume na hivyo basi kumfanya mwanamume kushindwa kusimika na kupata tatizo la kupungua uwezo wa kujamiana.
Katika tafiti zilizofanyika, asilimia 97 ya wale waliogunduliwa na tatizo hili walikuwa wavutaji sigara na katika tafiti nyingine asilimia 87 ya wale wenye tatizo hili walikuwa pia wavutaji sigara.
Katika utafiti uliowahusisha wapenzi 290 mwaka 1999, ilionyesha kwamba wanaume ambao walikuwa wavutaji sigara walifanya tendo la ndoa na wake zao mara 6 tu kwa mwezi mzima na wale ambao hawakuwa wavutaji sigara walifanya tendo la ndoa mara mbili zaidi ya wale wavutaji sigara.
Uvutaji sigara, huhusishwa pia na kuongezeka kwa chembechembe nyeupe za damu kwenye mbegu za kiume ambazo kwa kawaida hutolewa kukiwa na ugonjwa ndani ya mwili.
Chembechembe hizi ambazo zinakuwapo kwa wingi kwenye mbegu za kiume pasipo na kuwapo kwa ugonjwa, hupunguza uwezo wa mbegu kuingia na kuungana na yai kutoka kwa mwanamke na hivyo kusababisha kutotunga kwa mimba.
• Ugonjwa wa kisukari
• Uzito uliopitiliza unaotokana na kuongezeka kwa mafuta ambayo husababisha mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye moyo na uume kuwa midogo na kupungua uwezo wa kujamiana. Kupungua uwezo wa kujamiana au kufanya mapenzi kwa wanaume ni ishara mojawapo ya ugonjwa wa moyo na kiharusi.
• Matatizo ya vichocheo katika tezi la koo
• Kuwa na wasiwasi.
• Kupenda mitandao ya kijamii kupita kiasi .
• Umri – Kuanzia miaka ya 40, kiwango cha kichocheo aina ya prolactin huongezeka na kusababisha kuongezeka kwa kichocheo kingine aina ya dihydro-testerone ambacho husababisha tezi dume kuongezeka na hatimaye kupunguza uwezo wa kusisimka kwa mwanamume.
• Madhara katika neva inayohusika na kusimika kwa uume
• Kuendesha baiskeli muda mrefu (kwa kipindi kimoja) – Hii hugandamiza neva na mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye uume na kusababisha tatizo la kupungua kwa nguvu za uume.
Chanzo;mwananchi