MGANGA WA DIAMOND ATOBOA SIRI NZITO JUU YA TUZO 7 ALIZOPEWA ANGALIA HAPA ALICHOKISEMA..!
Akiongea
na gazeti hili kwa njia ya simu namba 0788-844490 toka Mwanza
alikoalikwa na wananchi wa huko kwa ajili ya kutoa huduma alisema"
Niliongea na Diamond wiki moja kabla ya shoo nikamueleza kuwa atapokea
tuzo nyingi sana mwaka huu na hizo tuzo ni ishara tosha ya kudumu kwenye
game kwa miaka kama hiyo ya tuzo zake kwa maana ya miaka saba mbele
yote nyota yake itaendelea kung'ara" Alisema Dokta Kamdege
Aidha
Mganga huyo aliendelea kusema" Unajuwa haya mambo ya maagano yapo
muziki na miti shamba zinaendana kwani kwenye dunia hii ya leo maadui ni
wengi kuliko marafiki kwani wapo watakaokuchukia bila sababu za msingi
hivyo ni vyema ukalijua mapema hilo na kujikinga kama ilivyo kwa
Diamond" Alisema mganga huyo mwenyeji wHa Mkoa wa Tabora
Hata
hivyo mganga huyo aliendelea kuto uwito kwa watanzania popote walipo
duniani waendelee kupata huduma zake kwani hii ni kama baraka kwa taifa
la Tanzania.
Dokta
Kamdege amekuwa akitumiwa sana na vigogo wa Serikali, wasanii na watu
mbalimbali duniani kufanikisha mambo yao kwa kuwapatia baraka kupitia
miti shamba.
0 comments: