Watafiti wamekuja na hii sasa, Kulala chumba chenye mwanga kunasababisha unene..!
Kama
ulikuwa hujui ngoja nikufahamishe, Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa
huko nchini Uingereza umebaini kuwa kulala chumba chenye mwanga
uliopitiliza kumehusishwa na mtu kuongeza unene wa kupindukia.Hata hivyo utafiti huo unaonya kuwa hakuna ushahidi wa kutosha kuwa sasa watu waanze kununua mapazia mazito au ulazima wa kuzima taa wakati wa kulala.
Sasa jiulize kibongobongo hii imekaaje kutokana na mazingira ya nyumba zetu?
0 comments: