Picha 18 za kwanza za msiba wa Adam Kuambiana Leaders Kinondoni
Kwa
sasa kutoka hapa Leaders ni watu mbalimbali wanatoa heshima zao za
mwisho wakiwemo waigizaji mbalimbali ambao marehemu Adam Kuambiana
aliwahi kufanya nao kazi na wengine ambao hawakuwahi kufanya nae
kazi,kwa mujibu wa ratiba iliyotangazwa mazishi yanategemewa kufanyika
saa 9 kwenye makaburi ya Kinondoni.
Miongoni mwa watu waliokuwa na simanzi zaidi mpaka wakashindwa
kuongea ni Jb hakumalizia kuongea akawa anataka kudondoka chini,endelea
kufatilia kwa taarifa zaidi.
Ungana na mimi kwenye kwa kubonyezaili niwe nakutumia kila taarifa inayonifikia, picha nyingine nitakuwekea hapa baadae
0 comments: