MTOTO ARARULIWA VIBAYA NA DADA YAKE!!!
Hii
 inaingia kwenye maktaba ya matukio ya kusikitisha kwenye idara ya  
Hekaheka na leo ni kuhusu dada aliyeamua kumkata mikono kwa kisu mtoto 
wa ndugu yake kisa kikiwa ni shilingi elfu 10 ambayo anadai aliibiwa na 
mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba.
 
Kwenye hii hekaheka utamsikia mtoto mwenyewe na mwalimu aliyempokea.
0 comments: