Post ya Aunt Ezekiel kuhusu homa ya Dengue.!!!
Kasi
ya maambukizi ya ugonjwa wa Dengue ambao unamiliki headlines sasa hivi
Tanzania hasahasa Dar es salaam imesababisha baadhi ya watu wakiwemo
mastaakubadilisha hata aina ya mavazi kama ilivyoshauriwa ili kukwepa
Mbu wanaoeneza ugonjwa wenyewe hata mchana.
Kutoka kiwanda cha filamu Bongo mastaa wa filamu Tanzania Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepost picha leo wakionekana kuwa na dawa aina ya Panadol kama kinga ya ugonjwa huo baada ya kupata dalili za maumivu ya kichwa.

0 comments: