Pata Habari kwa kuandika email yako hapa chini:

Hiki ndicho kiasi cha pesa walicholipa TMZ kununua ile video ya Jay Z akipigwa na Solange!!!

solange
Video maarufu sana kwenye internet hivi sasa ni ya Jay Z akishambuliwa na shameji yake Solange ambayo tangu TMZ waipost May 12,  imeshaangaliwa zaidi ya mara milioni 9.
Taarifa mpya kuhusu hiyo video ni kwamba wauzaji waliinadi kutamfuta mteja atakaye lipia pesa nyingi kununua video hiyo ambayo imekua gumzo.
Kati ya waliotaka kuinunua ni mtandao wa TMZ na ndio walioshinda kwa kulipa dola 250,000 (zaidi ya Tsh milioni 400) kupata video ya sekunde 58 isiyo na sauti na baadae video ya dakika 3 na sekunde 33 yenye sauti.
Mabosi wa hoteli hiyo wamempa kazi mwanasheria kuchunguza wakina nani waliitoa hiyo video kwasababu ni watu wachache wanaruhusiwa kuingia kwenye chumba hicho.
Unaweza kuiangalia hiyo video hapo pembeni.

0 comments: