Cheki walichokiandika mastar kadhaa wa Tanzania baada ya Diamond kutangazwa kushiriki kwenye BET!
Hii
ni Tanzania ambayo kwa sasa Diamond Platnumz ameamua kutuonyesha kwenye
ramani ya Dunia,imekua ni good news kwa Tanzania na afrika mashariki
kwa ujumla,baadhi ya mastar wa Tanzania wamekubali kutoa ya moyoni baada
ya taarifa hiyo miongoni mwao ni pamoja na Mkubwa Fela,Wema
Sepetu,Ay,Belle 9,Vanesa Mdee na wengine kibao.
Hizi ndizo post za mastar hawa.
Hizi ndizo post za mastar hawa.
0 comments: