Mabibi na mabwana… single ya @Victoria_Kimani ft. Diamond na Ommy Dimpoz imetoka!!!
Headlines
zake sio nyingi sana Afrika Mashariki ila zimekua na uzito kila
zinapotoka ambapo this time kaachia single yake ft. Diamond Platnumz na
Ommy Dimpoz.
Victoria Kimani atapita hapa usiku wa saa tano na nusu kusoma maoni yaliyoandikwa na watu wake so ukiwa na chochote cha moyoni baada ya kuisikiliza hii single usisite kumuuandikia mtu wangu.
Victoria Kimani atapita hapa usiku wa saa tano na nusu kusoma maoni yaliyoandikwa na watu wake so ukiwa na chochote cha moyoni baada ya kuisikiliza hii single usisite kumuuandikia mtu wangu.
0 comments: