hii ndiyo skendo mpya inayomnyima usingizi justine bieber...!
Akiwa mtoto msanii mdogo tu, na msanii marufu kwa kipindi hiko Justine
Bieber alishtumiwa kwa kutukana ngozi nyeusi na hivyo kuwakera sana raia
wengi wa nchini marekani, video hiyo iliyokuwa ikifichwa kutonekana na
mtu yoyote, ilifikia uma ikionyesha Justine akisema kuwa watu weusi
wanaogopa mmisumeno ya umeme, huku akiwa anafanya kama utani hivi,
skendo hiyo imeibuliwa tena hivi majuzi na kutokea watu wengi kumuandama
justine Bieber kwa kitendo hicho alichowahi kufanya akiwa na umri mdogo
tu wa miaka 15, kutokana na kusemwa sana Justine Bieber kuonyesha kuw
amebadilika sasa na amekua mtu mzima, akaona isiwe ishu na kuamua kuomb
msamaa kwa mara nyingine.
0 comments: