FORD NI GARI AMBAYO INAKUJA KWA KASI SANA KIASI KWAMBA MATAJIRI WENGI NDO WENYE UWEZO WA KUZIMILIKI TU!!!

Hitilafu iliyotajwa ni ya usukani ambapo takriban magari milioni 1.1 yaliyoundwa kwa mtindo wa kispoti yaliyokuwa yameuzwa Marekani Kaskazini yametakiwa kurejeshwa.

Kurejeshwa huko kwa magari hayo kumetokea wakati sakata ya usalama inawakumba wapinzani wakuu wa kampuni ya hiyo ambao ni General Motors (GM).
GM iliwahi kulaumiwa kwa kutotoa ilani za kiusalama kwamba baadhi ya magari yake hata baada ya kubaini kuwa magari hayo yanazima ghafla,dosari hiyo imehusishwa na vifo 13,ingawa wasanifu wa Marekani wanaamini kuwa idadi hiyo itaongezeka.
0 comments: