DARAJA LA DAR BAGAMOYO BADO SANA -MKONDO WA MAJI WABADILIKA...
Kazi katika Daraja la Mpiji lililoko Mpakani mwa Dar na Bagamoyo bado ni kubwa hizi ni picha za asubuhi hii Bado wanaendelea kumwaga mawe na kifusi lakini kazi inaonekana bado ni kubwa.....Daraja lenyewe alijavunjika kilichotokea ni maji yameacha mkondo wake wa kupita chini ya daraja na kuchimbua pembeni ya daraja ambapo kuna muunganiko wa daraja na lami ....Ukiangalia picha ya Pili na ya Tatu Inaonesha Skaveta likijaribu kuchimba chini ya daraja ili kuurudisha mkondo katika njia yake ya kawaida,,,,,Ni Shida..
0 comments: