
Ni
mastaa ambao walipoanza mapenzi yao wengi waliona kama wanafanya hivyo
ili kutengeneza headlines tu zitakazofanya wauze muziki wao lakini May
19 2014 mastaa hawa wamepata mtoto wao wa kwanza pamoja japo akiwa ni
mtoto wa nne kwa Future.
Mtoto alizaliwa Los Angeles Marekani na tayari saa kadhaa baadae mama
yake akashea picha ya kwanza ya mtoto huyu japo ni nusu picha.

Stori kama hizi ni halali yako zisikupite…. ili niwe nakutumia kila kinachonifikia ungana na mimi kwenye specialudaku
ili kupata kila stori inayonifikia zikiwemo videoz, vituko, pichaz, music na mengine yote.
0 comments: