VIDEO INATISHA: BASI LA HOOD LILIVYOKUWA LATEKETEA KWA MOTO..!
Habari za basi la Hood kuteketea kwa moto likitokea Mbeya njiani
kuelekea Arusha zimetoka na kusambaa sana April 29 2014 jioni na hakuna
mtu aliyepoteza maisha lakini watu wanaofikia 40 wamejeruhiwa huku 55
wakinusurika kifo.
Hii ni video ikionyesha jinsi basi hilo likiteketea kwa moto Chalinze Pwani.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO HIYO
0 comments: