VICTORIA KIMANI AVUA NGUO ADHARANI!!
Victoria Kimani ameamua kujipamba na urembo wa Pwani kwa kujichora na tattoo za Henna.
Na muimbaji huyo mrembo wa Kenya
aliyetua Dar es Salaam wiki hii kung’arisha uzinduzi wa kipindi cha The
Playlist cha Times FM, ameamua kuyaonjesha macho ya followers wake wa
Instagram jinsi urembo huo ulivyomtoa chicha, mashalaah.. Safisha macho
kwa uumbaji huu wa Mola..


Victoria akiwa na watangazaji wa Choice FM, Vanessa Mdee na Mandingo!!!!



Queen Vee akiwa na watangazaji wa Clouds FM, B-Dozen, Adam Mchomvu na DJ Fetty

Ki-Money ameendelea kufanya interview
kwenye vituo mbalimbali vya radio nchini. Jana alihojiwa Clouds TV,
kwenye XXL ya Clouds FM na Choice na leo alikuwa Times FM
0 comments: