RECHO Kuanzia Leaders mpaka Makaburi ya Kinondoni,hii ndiyo safari ya mwisho ya Rachel Haule. Kuanzia Leaders mpaka Makaburi ya Kinondoni,hii ndiyo safari ya mwisho ya Rachel Haule.
Muigizaji
kutoka kiwanda cha filamu Bongo Rachel Haule leo amezikwa kwenye
makaburi ya Kinondoni Dar es salaam kabla ya mazishi kulikua na ibada
iliyoambatana na watu kutoa heshima za mwisho kwenye viwanja vya
Learders. Waigizaji,waimbaji
pamoja na wananchi wamejumuika katika safari hii ya mwisho kumsindikiza
Rachel Haule,miongoni mwa vitu vilivyoteka hisia za watu ni kudondoka
na kupoteza kwa filamu kwa muigizaji Irene Uwoya kisha kukimbizwa
hospitali. Rachel
haule amezikwa na kichanga chake ambacho kilipoteza maisha baada ya
kuzaliwa hivyo kaburi la Recho limeunganishwa na marehemu mtoto wake,
Hizi ni miongoni mwa picha za mazishi haya.
0 comments: