Jibu la Irene Uwoya baada ya kuulizwa uhusiano wake na Msami wa THT..!
Jana
May 28 kupitia You heard ya XXL Clouds FM ilikua ni stori kuhusu
uhusiano wa Msami wa THT na mwigizaji toka Bongo Movie Irene Uwoya na
jana alisikika Msami ambaye alikanusha uhusiano lakini mpenzi wake
Rehema aliweka wazi kuwa ni kweli Msami ana uhusiano wa kimapenzi na
Irene Uwoya.
Sasa May 29 2014 ishu hii imeendela ambapo katafutwa Irene Uwoya na kuulizwa na Soudy Brown kama ni kweli ana uhusiano wa kimapenzi na Msami na swali la kwanza lilitaka kujua uhusiano wao umekuepo toka lini?
Irene Uwoya: ‘Siku nyingi’
Soudy Brown: Msami kama namuona, unampa huduma zote?
Irene Uwoya: ‘Sanaaa kila kitu’
Soudy Brown: Uhusiano wenu utadumu au ndio kama wa Ndikumana?
Irene Uwoya: ‘Yakudumu kwa sababu nampenda’.
Soudy brown alimpa Irene taarifa kuwa mpenzi wa zamani wa Msami amekasirika kwa sababu Irene kaingilia mapenzi yao jibu kutoka kwa Irene likawa ‘hiyo haijalishi kwa sababu nampenda’

0 comments: