Pata Habari kwa kuandika email yako hapa chini:

Iongezee na hii kwenye playlist yako ya South Africa.!!!

Screen Shot 2014-05-14 at 2.10.16 AMMuziki wa Afrika Kusini ni sehemu nyingine ya burudani inayomiliki playlist za nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Tanzania ambako harusi/sherehe nyingi bila kugusa nyimbo flani za harusi bado haijanoga.
Kwenye playlist yako ya nyimbo za South Africa unaweza kuongezea na hii ya Bucie ft. Heavy K – easy to love


0 comments: