HUYU NDIYE MBUNGE MDOGO KULIKO WOTE MWENYE MIAKA 21 TU AMBAYE YUPO BUNGE LA KATIBA??? MFAHAMU HAPA
Mbunge Teddy Ladislaus Patrick (21), ndiyo mbunge mdogo kulioko wote katika bunge maalum la katiba.
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum Mh. Samuel Sitta akimuapisha Theddy L. Patrick kuwa
mbune wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma. Picha na Deusdedit Moshi
wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kati. |
0 comments: