HIKI NDIO KITU KIPYA TOKA KWA JAY Z NA MKEWE BEYONCE...!
Hivi sasa wote wawili wameridhia kufanya official tour ya pamoja ambayo ilikuwa ni moja ya kiu kubwa ya fans wa wapenzi hawa na watafanya show 16 tu.
Sehemu ya pesa zitakazopatikana kwenye tour hiyo zitaenda kwenye foundation ya Shawn Carter.
0 comments: