BONGE LA VIDEO!!! Nafasi ya kutazama jinsi video mpya ya Shaa ilivyokua ikitengenezwa. @loveness de bevy_TZ!!!
Location ni Manzese maeneo ya Tiptop Connection
Huu ni wimbo mwingine mpya kutoka kwa Shaa ‘subira’ ambao uko kwenye
mahadhi kama ya mduara na haujaachiwa rasmi bado na video yake imeanza
kufanywa ikiongozwa na Adam Juma kutoka Next Level na audio imefanywa na
producer Shirko kwenye studio za Mkubwa na Wanawe.
Vanessa Mdee alikuwepo sehemu ya tukio tu kutoa support ila hatoonekana kwenye video.
0 comments: