Pata Habari kwa kuandika email yako hapa chini:

BARCELONA`S Video: Hivi ndivyo Atletico Madrid walivyochukua ubingwa wa La Liga mbele ya Barca...

article-2631279-1DF2731D00000578-237_634x491Atletico Madrid jana usiku walitawazwa kuwa mabingwa wapya wa La Liga baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya FC Barcelona kwenye mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya Spain uliopigwa kwenye dimba la Camp Nou.
Atletico wanakuwa mabingwa wa tofauti na aidha Barcelona au Real Madrid tangu miaka 9 iliyopita, pia huu ni ubingwa wao wa kwanza wa La Liga tangu mwaka 1996.
 <iframe frameborder="0" width="480" height="270" src="//www.dailymotion.com/embed/video/x1vbeu8" allowfullscreen></iframe><br /><a href="http://www.dailymotion.com/video/x1vbeu8_barcelona-vs-atletico-madrid-1-1_sport" target="_blank">Barcelona vs Atl&eacute;tico Madrid 1-1</a> <i>by <a href="http://www.dailymotion.com/FootyLight0" target="_blank">FootyLight0</a></i>
http://www.dailymotion.com/video/x1vbeu8_barcelona-vs-atletico-madrid-1-1_sport
Barcelona vs Atlético Madrid 1-1 by FootyLight0

0 comments: